Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8471 results for Mwandishi Wetu :

  1. Neymar achagua timu mbili fainali Kombe la Dunia 2026

    MSHAMBULIAJI wa Santos na Brazil, Neymar Jr amechagua nchi mbili ambazo angependa kucheza nazo katika fainali ya Kombe la Dunia 2026, ingawa hadi sasa hana uhakika wa kuchaguliwa kwenye kikosi...

    NEYMAR Pict
  2. Salah aipa Liverpool matumaini

    LIVERPOOL ina matumaini nyota wao Mohamed Salah atarejea uwanjani kabla ya kuondoka mwishoni mwa msimu huu.

    SALAH Pict
  3. Ashley Young kustaafu soka mwishoni mwa msimu

    ALIYEKUWA nahodha wa Manchester United na winga wa zamani wa timu ya taifa ya England, Ashley Young, ametangaza rasmi kuwa atatundika daruga mwishoni mwa msimu huu, akihitimisha safari ya kipekee...

    YOUNG Pict
  4. Ronaldo azungumza kwa mara ya kwanza ishu ya kustaafu

    GWIJI wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, amekiri kwa mara ya kwanza kuwa mwisho wa safari yake ya soka umeanza kukaribia, huku akisisitiza kuwa bado anafurahia kila dakika anayocheza uwanjani.

    RONALDO Pict
  5. Toni Kroos kufuata nyayo za Zidane Real Madrid 

    KIUNGO gwiji wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani, Toni Kroos, anaripotiwa kuwa mbioni kurejea kwa hisia ndani ya klabu ya Real Madrid ikiwa ni miezi michache tangu atangaze kustaafu soka.

    KROOS Pict
  6. Simeone, Ben White ‘wazinguana’, kisa nembo ya Atletico Madrid

    KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone, amegonga vichwa vya habari baada ya kukabiliana vikali na beki wa Arsenal, Ben White, kufuatia sare ya 1-1 katika mechi ya mkondo wa kwanza ya nusu...

    SIMIONE Pict (1)
  7. UEFA kumbakiza Bruno Old Trafford

    MANCHESTER United United inaamini kufuzu kwao kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya kutatosha kumshawishi nyota wao Bruno Fernandes kuendelea kubaki katika viunga vya Old Trafford na kuondoa uwezekano...

  8. Vita ya Julian Alvarez, Barcelona yapigwa presha na Arsenal, PSG

    BARCELONA bado inaendelea kusukuma kwa nguvu dili la kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Argentina, Julian Alvarez mwenye umri wa miaka 26.

    FUNUNU Pict
  9. Benfica: Mourinho haendi kokote

    MABOSI wa Benfica wameendelea kuwa na imani kubwa kuwa kocha wao Jose Mourinho atasalia katika kikosi chao msimu ujao licha ya taarifa zinazodai anaweza kutimkia Real Madrid.

  10. Kisa Rosenior, Scholes aiponda Chelsea

    KIUNGO wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes ameishambulia vikali bodi ya Chelsea akidai ilikuwa ‘kichaa’ kumteua Liam Rosenior kuwa kocha mkuu wa timu hiyo.

Previous

Page 126 of 848

Next