Bayern yaiweka patamu Arsenal kwa Kimmich MABOSI wa Bayern Munich wamesema tena kwa msisitizo hawataongeza ofa yao kwa Joshua Kimmich licha ya mazungumzo ya mkataba mpya kukwama.
Mtoto wa mwenye timu amfuata Arteta JOSH Kroenke, mtoto wa tajiri mmiliki wa klabu ya Arsenal amewasili London kwenda kukutana na kocha wa timu hiyo, Mikel Arteta kuzungumza namna msimu unavyokwenda kumalizika kwenye kikosi hicho.
Eti Nagelsmann apewe Man City MABOSI wa Manchester City wameambiwa wamchukue Julian Nagelsmann akarithi mikoba ya Pep Guardiola - uamuzi ambao unaweza kumpa fursa Jurgen Klopp kwenda kunasa ajira ya kuinoa Ujerumani.
Liverpool, Inter Milan vita kali kwa Joshua Kimmich INTER Milan imejitosa katika vita dhidi ya Liverpool ili kuipata huduma ya kiungo wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani, Joshua Kimmich dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Vini Jr atuliza presha Real Madrid SUPASTAA wa Kibrazili, Vinicius Junior amesema anataka kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Real Madrid.
Vita ya DR Congo yamuibua Vicent Company Vita vinavyoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) vimekuwa mjadala mkubwa ulimwenguni ukigusa nyanja ya michezo Ulaya na Marekani.
Tabora United yaipeleka JKT Tanzania CCM Kirumba Siku tano baada ya Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora kufungiwa, uongozi wa Tabora United umeuchagua Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kwa mechi yake ya nyumbani dhidi ya JKT Tanzania, Machi 7, 2025.
Man United? Sijui itakuwaje sasa KUTUPWA nje kwa mikwaju ya penalti na Fulham Kombe la FA kuna madhara makubwa kwa Manchester United wakati huu ikipita kwenye majanga makubwa na kujiweka mbali na ndoto za kubeba walau taji moja...
PRIME WAZEE WAKUVIZIA! Wakisogelea boksi lako, wanagusa moja mpira unaletwa kati KITU kigumu kwenye soka ni kufunga bao. Hilo ni jambo gumu sana kwa wachezaji wengi. Lakini, kuna baadhi ya wachezaji suala la kufunga mabao walilifanya kuonekana kuwa jepesi hasa wale waliokuwa...
Nani abaki, aondoke Arsenal BAADA ya kushuhudia majeruhi wakitibua mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu, Arsenal inaweza kuchukua uamuzi wa kupangua kikosi kwa kuondoa baadhi ya mastaa na kuleta wengine wapya...