Kagame Cup yaanza kinyonge Dar PAZIA la mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) 2024 linafunguliwa leo ikiwa ni mara ya kwanza katika historia kwa mashindano hayo kufanyika Tanzania bila uwepo wa...
Rais Magufuli awapa mzuka Waandishi wa michezo Kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ya kuruhusu kurejea kwa shughuli za michezo, Juni Mosi imewapa mzuka waandishi wa habari za michezo nchini.
Morrison, Kagere waanzia nje KAMA ilivyokuwa kwenye mchezo wa kwanza wa ugenini dhidi ya Plateau United, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amewaanzisha benchi washambuliaji, Meddie Kagere na Bernard Morrison, huku beki...
Mathias Lule atua Mbeya City UONGOZI wa Klabu ya Mbeya City imemtangaza kocha Mathias Lule ambaye alikuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' kuwa kocha mkuu wa timu hiyo akichukuwa nafasi ya Amri Said...
Eymael: Nilipiga goti kupinga ubaguzi, sijaambiwa lolote Yanga Eymael amefutwa ukocha na Yanga baada ya sauti yake kusambaa akitoa matamshi ya kibaguzi
Mwape awakaanga Tegete na Nsa Job KOCHA wa Yanga, Kosta Papic amesema Nsa Job na Jerry Tegete wanatakiwa kufanya kazi kubwa ili wasipokwe namba na
Mwenyekiti PSG: Baada ya Messi, Mbappe 'hana sababu' ya kuondoka Mshambuliaji huyo Mfaransa anatarajiwa kuungana na Neymar na Messi katika safu ya ushambuliaji ya PSG, lakini nyota huyo wa Argentina hatarajiwi kuonekana mwishoni mwa wiki hii wakati klabu hiyo...
Idris na Wema kazi bado ipo INSTAGRAM siku hizi ndo imekuwa sehemu ya watu wengi maarufu kutolea mapovu yao mengi pengine inaweza ikawa sababu ya umaarufu wa mtandao huo na uwepo wa watu wengi wanaotumia pia.
Simiyu yang’ara kitaifa ukuaji shule binafsi za Sekondari Kwa mujibu wa takwimu za msingi za elimu kwa mwaka (BEST) 2015 zilizotolewa Septemba 2015, mkoa wa Katavi umeshika nafasi ya pili ukiwa na ukuaji wa asilimia 50. Katika takwimu hizo, Shinyanga...