Man United yapewa masharti kwa Mbeumo BRENTFORD imeiambia Manchester United inapaswa kulipa Pauni 65 milioni kama kweli inamtaka Bryan Mbeumo kinyume cha hapo, fowadi huyo atabaki, haendi kokote.
Beki Borussia awazia kipute cha Madrid WAKATI Real Madrid ikijiandaa sasa kwa mechi ya robo fainali ya Kombe la Dunia la Klabu, beki wa Borussia Dortmund, ambao watakuwa wapinzani wao kwenye hatua hiyo, Yan Couto amekiri kwamba siku...
Caicedo awatoa jasho Chelsea BENCHI la ufundi la Chelsea limebaki kwenye presha kubwa ya wasiwasi wa hali ya kiungo wake Moises Caicedo ambaye aliumia kwenye mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu dhidi ya...
Lamine Yamal apewa namba 10 LAMINE Yamal amekabidhiwa jezi Namba 10 baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka sita kwenye klabu ya Barcelona licha ya kukabiliwa na kasheshe la kuajiri mbilikimo kwenda kutumbuiza sherehe za...
Gyokeres aaanza kuhamisha vitu ARSENAL ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha dili la Pauni 69 milioni la kumsajili straika Viktor Gyokeres baada ya gari la kuhamisha vyombo kuonekana mbele ya nyumba ya staa huyo huko...
Elanga amshawishi Isak abaki, asiondoke ANTHONY Elanga anapambana kumshawishi straika Alexander Isak asiondoke Newcastle United abaki hapo ili wapige mzigo wakiwa pamoja msimu ujao.
Grealish kujinoa kivyake Etihad JACK Grealish ameripotiwa kukubali kufanya mazoezi kivyake wakati huu akijiandaa na mpango wa kuachana na Manchester City kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi.
Staa NBA ataja timu mpya ya Ronaldo STAA wa NBA Giannis Antetokounmpo anayeichezea, Milwaukee Bucks na timu ya taifa ya Kikapu ya Ugiriki ametoa ushauri wa uhamisho kwa mshambuliaji wa Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno...
Kinachokwamisha dili la Wirtz Anfield NYOTA wa kimataifa wa Bayer Leverkusen, Florian Wirtz 22, tayari amefikia makubaliano na mabingwa wa Ligi Kuu England, Liverpool, lakini changamoto inatajwa kuwa ni ada ya uhamisho.
Jobe Bellingham kufuata nyayo za kaka yake MABOSI wa Borussia Dortmund wana imani kuwa wameshinda mbio za kumsajili kiungo wa kati wa Sunderland, Jobe Bellingham ambaye ni mdogo wake Jude Bellingham anayekipiga Real Madrid.