Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9651 results for Mwandishi :

  1. Messi aacha utata Argentina, akisaidia ushindi wa 3-0

    Lionel Messi usiku wa kuamkia leo ameiongoza Argentina kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 nyumbani dhidi ya Venezuela lakini baada ya hapo akatoa kauli inayoonekana kama ni ya kuwaaga kwa mara ya...

    MESSI Pict
  2. Lescott: Kwa Isak? Ekitike ni benchi tu

    BEKI wa zamani wa Manchester City na England, Joleon Lescott anaamini kocha wa Liverpool, Arne Slot atamweka benchi Hugo Ekitike ili kumwanzisha straika, Alexander Isak.

    LESCOT Pict
  3. Kivumbi kinaendelea tena wikiendi hii

    JOTO la Ligi Kuu England litapanda tena wikiendi hii ambapo timu zitarusha kete za pili kwenye mchakamchaka wa kuwania ubingwa wa ligi hiyo.

    KIVUMBI Pict
  4. Aliyechukua nafasi ya Palmer ana balaa

    KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca ameelezea kilichomfanya Cole Palmer kushindwa kucheza mechi ya West Ham United, huku mchezaji aliyecheza badala yake, Estevao Willian akionyesha balaa kubwa uwanjani.

  5. Kocha Sweden amtetea Isak

    KOCHA wa Sweden, Jon Dahl Tomasson amewaonya watu waache kumhukumu Alexander Isak kwa sababu hawafahamu kiundani juu ya sakata lake kwenye klabu ya Newcastle United.

  6. Gabriel bado yupo sana Arsenal

    Beki wa Kati raia wa Brazil, Gabriel Magalhaes (27) ameongeza mkataba wa kuitumikia Arsenal hadi 2029.

  7. Refa aliyetimuliwa EPL, ageuka usafirishaji mizigo

    MWAMUZI wa zamani wa Ligi ya England, David Coote ameonekana akifanya kazi ya kusafirisha mizigo ikiwa ni miezi kadhaa tangu aondolewe katika orodha ya waamuzi.

  8. Arne Slot akatisha likizo kisa Cherki

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot ameripotiwa kukatisha likizo ili kukutana na Rayan Cherki kumshawishi atue Anfield.

  9. Sasii afungiwa miezi sita, Fadlu, Sowah nao yawakuta

    Mwamuzi Herry Sasii amekumbana na adhabu Kali, baada ya kufungiwa miezi sita kwa makosa ya kushindwa kutafsiri Sheria kwenye mchezo kati ya Simba na Singida Black Stars.

  10. Thomas Partey asepa zake Arsenal

    NDO hivyo. Kiungo, Thomas Partey ameondoka kwenye klabu ya Arsenal baada ya mkataba wake kufika ukomo, jana Jumatatu, imeripotiwa.

    PARTEY Pict
Previous

Page 115 of 966

Next