TFF yafungia viwanja vitatu kwa kutokidhi vigezo Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kufungia viwanja vitatu kutumika kwa michezo ya ligi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na kisheria vinavyotakiwa kutumika kwa Ligi Kuu.
ATM YA WIKI: Heshima NBA imempa utajiri Jordan MOJA kati ya viatu maarufu duniani ni Air Jordan ambavyo vimebeba jina la mchezaji wa zamani wa kikapu wa Marekani Michael Jordan.
Mrithi wa Edu kuleta mavitu ya Atletico Madrid HATIMAYE baada ya mchakato wa muda mrefu wa kumsaka mrithi wa nafasi ukurugenzi wa michezo wa klabu ya Arsenal, iliyokuwa ikishikiliwa na Edu, sasa amepatikana.
Mashabiki wamshangaza Amorim KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim ameshangazwa na maneno anayoambiwa na mashabiki wa Manchester United wanayomwambia kila wanapokutana naye.
Liverpool wanauliza, bado ngapi? HESABU za ubingwa kwa Majogoo wa Jiji la Liverpool zinatoa matumaini katika kutwaa taji la Ligi Kuu England msimu huu baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Southampton juzi Jumamosi.
Ancelotti atoa msimamo Real Madrid KOCHA wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amesema kuwa hana uhakika juu ya hatma yake na kusisitiza kwamba ataondoka ikiwa mkataba wake utavunjwa.
Tammy Abraham anukia England, Roma freshi ROMA ipo tayari kusikiliza ofa kutoka timu nyingine juu ya straika wao raia wa England, Tammy Abraham ambaye msimu huu anacheza kwa mkopo AC Milan.
Harry Kane ana jambo lake England STRAIKA, Harry Kane amepiga mbili wakati Bayern Munich ikiichapa Bayer Leverkusen mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza wa mtoano kwenye hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumatano iliyopita.
Amorim alilia bahati ya Arteta KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amedai kwamba anahisi hatapewa muda wa kutosha wa kuijenga timu hiyo kama ambavyo Mikel Arteta amepewa huko Arsenal.
Man United Vs Arsenal, mechi ipo nyie! LAZIMA kipigwe. Ndicho unachoweza kusema wakati mashabiki wakisubiri kwa hamu kipute cha Old Trafford, wakati Manchester United itakapoikaribisha Arsenal katika mchakamchaka wa Ligi Kuu England.