Pacome, Aucho, Yao ndani Yanga ikiifuata Mamelodi umeondoka nchini leo alfajiri kwa ndege ya Shirika la Malawi ukipitia jijini Blantyre kisha kuunganisha kwenda Afrika Kusini. Katika msafara huo ambao pia wamo viongozi wa benchi la ufundi 12...
Simba yaifunika Yanga CAF , Mudathir Yahya, Shekhan Ibrahim, Farid Mussa, Denis Nkane na Skudu Makudubela huku washambuliaji wakiwa ni Joseph Guede, Clement Mzize na Kennedy Musonda Hata hivyo, viungo Jonas...
Wanapiga soka na kusoma vitabu kinaitwa ‘Think Big’ ameandika Ben Carson kingine ‘Milango saba, vitabu hivyo vina maudhui yalionifanya niamini katika ndoto zangu, hata kama walionizunguka hawanielewi kwa wakati huo’,” anasema.
Mastaa Yanga nje wakiisikilizia Belouizdad Yanga imewakwepa kiaina wapinzani wake, CR Belouzidad kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuanzisha kikosi ambacho hakina mastaa wakubwa kwenye mchezo wa Kombe la Shrikisho la Azam...
JIWE LA SIKU: Kuna watu watacheka na watakaolia Yanga Nyota wote walioondoka kikosini Yanga kwa ajili ya fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 wamerejea na sasa maswali kwa kocha Muargentina Miguel Gamondi kwanini timu haichezi vyema tangu ligi...
Mastaa walioanza kibabe mwaka na hitsongs kuuzia nyimbo na ngoma yake iitwayo ‘Nasikia Harufu’ aliyomshirikisha Lejendi wa muziki, Chid Benz. Ngoma hiyo imepenya kila kona na watu wameipokea kwa ukubwa zaidi huku wengi wakifurahia unyama...
Yanga mwendo mdundo, Pacome, Mzize wawaka Sokoine lililoanzia golini na kumkuta mfungaji huyo na kwenda mapumziko Prisons wakiwa nyuma kwa mabao 2-0. Kipindi cha pili kilianza kwa presha kila timu kufanya mashambulizi na kusababisha kipa wa...
Benchi la Yanga wazawa watupu KIKOSI cha Yanga kiko uwanjani muda huu kwenye Uwanja wa Azam Complex kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji, ila jambo la kushangaza au kufurahisha katika benchi la timu hiyo hakuna...
Hawa hapa mastaa waliorejesha mataji Yanga Juni 25, 2022 ilikuwa ni siku ya furaha isiyo na kifani kwa Yanga kwa kukabidhiwa ubingwa wa Ligi Kuu kwa msimu wa 2021/2022 baada ya kuukosa kwa misimu minne mfululizo kutokana na sababu...
Simba, Mashujaa gemu ya lawama Achana kwanza na robo fainali za Afcon usiku. Jioni ya leo, Abdelhack Benchikha atakuwa na kibarua cha kwanza kwenye ligi nje ya Dar es Salaam tangu asaini Simba. Ataiongoza timu yake dhidi ya...