Msikie Awesu kuhusu Maxi Zengeli KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Awesu Awesu amemtaja Maxi Nzengeli wa Yanga ni mchezaji mzalendo ndani ya timu yake ambaye anapambana kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.
Jiongeze: Kamwe na ufalme wa Jangwani Ujio wa Ally Kamwe katika Klabu ya Yanga SC umekuja kuongeza uahi katika mitandao ya kijamii kwa ubunifu na mbinu anazotumia katika kazi yake.
Chama la Ronaldo lachapwa nne Saudia Chama la staa wa dunia Cristiano Ronaldo, Al Nassr limeanza na gundu msimu huu baada ya kulala mabao 4-1 dhidi ya wapinzani wao Al Hilal na kupoteza ubingwa wa kwanza.
Kufeli klabu nne CAF tatizo uwekezaji MDAU wa michezo Masanja Ngwau, ameeleza tatizo kubwa lililozikumba timu nne zilizotolewa mapema kwenye mashindano ya Afrika kwa klabu ni uwezekezaji duni. Masanja amesema klabu za Zanzibar na...
Jubilee yaipiga tafu Don Bosco KATIKA kuendeleza vipaji vya wachezaji wa mchezo wa kikapu nchini, Bima ya Maisha ya Jubilee imeingia katika udhamini wa timu ya Don Bosco Oysterbay yenye wachezaji 60 wa rika mbalimbali kupitia...
James Rodriguez atafuta njia ya kurudi Ulaya JAMES Rodriguez ameripotiwa kujipanga kuondoka Sao Paulo akisaka kurejea katika soka la Ulaya baada ya kufanya mambo ma-kubwa akiwa na timu ya taifa ya Colombia kwenye Copa America.
Tanzania Prisons kimkakati zaidi HESABU walizonazo Tanzania Prisons ni kuhakikisha kwamba, hawataki kuwaruhusu wapinzani wao, JKT Tanzania kupata hata pointi moja watakapokutana wikiendi hii.
Gyokeres njia nyeupe Arsenal ARSENAL huenda ikapata urahisi katika mchakato wa kumsajili straika wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres baada ya Barcelona kuthibitisha kuwa haina mpango wa kumsajili.
Guinea yaiweka njia panda Stars kufuzu Afcon 2025 Ushindi wa bao 1-0 wa Guinea dhidi ya DR Congo umeweka kundi H la kufuzu kwa AFCON 2025 kwenye hatua ya kufa au kupona, hasa kwa Taifa Stars. Kwa sasa, nafasi ya Stars kufuzu inategemea mchezo wa...
Haya ndiyo maradhi yaliyositisha uhai wa mwigizaji Fredy Kufuatia kifo cha mwigizaji Fredy Kiluswa kilichotokea jana Novemba 16,2024 katika hospitali ya rufaa Mloganzila, mwongozaji msaidizi wa tamthilia ya 'Mizani ya Mapenzi' Alex Mgeta 'Ngosha'...