Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

166 results for Aisha Mbuma :

  1. Baada ya Mkude ni zamu ya Maxi

    Nahodha wa AS Maniema Union ya DR Congo, Maxi Mpia amewasili nchini wa leo Julai 12, 2023 kukamilisha dili la kujiunga na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga. Maxi kama mambo yataenda sawa...

  2. Yanga yashusha Msenegal

    Dar es Salaam. Klabu ya Yanga imemtangaza Mousa Ndao raia wa Senegal kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo akisaidiana na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kuhakikisha wanatengeneza timu imara msimu wa...

  3. Kakolanya: Si kwenda Simba kushindania namba

    Aliyekuwa kipa namba mbili Simba SC, Beno Kakolanya amezungumza na kusema msimu uliopita ulikuwa mzuri japo matarajio ya Simba hayakutimia kutokana na kudondosha pointi na wapinzani walikuwa...

  4. Onyango ampisha beki Mcameroon Simba

    Beki wa kati wa Simba Josh Onyango alikuwa akisubiri 'Thank you' kutoka Simba ingawa badao hajapewa mkno wa kwaheri na aliomba kuondoka Simba kutokana na kutokuwa na furaha ndani ya kikosi...

  5. Nyasa Big Bullets, Yanga hakuna mbabe

    Yanga imecheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Nyasa Big Bullets katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi leo Julai 6, 2023 Mechi hiyo ya kirafiki ilikuwa ni mualiko...

  6. Straika mpya Azam FC aibua jambo

    KLABU ya US Goree inayoshiriki Ligi Kuu nchini Senegal imeandika barua rasmi ya kusikitishwa na kitendo cha Azam ya Tanzania kumsainisha nyota wa timu hiyo, Alassane Diao mwenye mkataba...

  7. Simba yaanza kuwapima afya wachezaji wazawa

    Simba leo imewafanyia vipimo wachezaji wazawa katika hospital ya Taifa ya Muhimbili tayari kwa maandalizi ya msimu ujao wachezaji hao ni Ali Salim, Mzamiru Yassin, Israel Mwenda, Nassor Kapama...

  8. Yanga yaalikwa mechi ya kirafiki Malawi

    Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe amezungumza leo na waandishi wa habari nakusema wamepata mwaliko wa mechi ya kirafiki nchini Malawi Julai 6, 2023 dhidi ya Big Bullets "Tumepokea mwaliko maalumu...

  9. Mtibwa yatetea ubingwa U-20

    Dakika 120 zimeweza kuamua ubingwa wa fainali ya ligi ya vijana chini ya miaka 20 na Mtibwa Sugar kufanikiwa kutetea ubingwa mara ya tano hii leo dhidi ya Geita Gold katika uwanja wa Azam...

  10. Chino 'wana man' afunguka kolabo yake na Fid Q

    Leo msanii nguli wa hip hop 'Fid Q' Farid Kubanda ameposti kwenye kupitia akaunti yake ya Instagramposti mbili zilizoleta maswali mengi ya kwanza ni tweet ya Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na...

Previous

Page 11 of 17

Next