Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Nyasa Big Bullets, Yanga hakuna mbabe

Muktasari:

  • Mechi hiyo ya kirafiki ilikuwa ni mualiko kutoka kwa Rais wa MalawiLazarus Chakwera kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi  

Yanga imecheza mchezo  wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Nyasa Big Bullets katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi leo Julai 6, 2023

Mechi hiyo ya kirafiki ilikuwa ni mualiko kutoka kwa Rais wa MalawiLazarus Chakwera kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi  

Mchezo huo imechezwa ndani ya dakika 70 na kutoka sare ya bila kufungana katika Uwanja wa Bingu, Lilongwe.

Kipindi cha kwanza katika mchezo hu winga wa Yanga denis Nkane alipata majeraha yaliyomfanya andolewa nje wa uwanja

Nkane amepata majeraha baada ya kugonga kichwa na mchezaji wa Big Bullets ya Malawi wakati wakiwania mpira wa juu

Winga huyo ametolewa uwanjani kwasababu amepata majeraha yaliyomfanya ashindwe kusimama na chukuliwa na gari la kubebea wagonjwa 'Ambulance'