Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Onyango ampisha beki Mcameroon Simba

Muktasari:

  • Mwanaspoti tulikupa taarifa ya beki wa kati wa Simba Joash Onyango kuhusishwa Singida Fountain Gate na sasa rasmi ndani ya uzi wa Singinda wakitolewa kwa mkopo na wanamsimbazi

Beki wa kati wa Simba Josh Onyango alikuwa akisubiri 'Thank you' kutoka Simba ingawa badao hajapewa mkno wa kwaheri na   aliomba kuondoka Simba kutokana na kutokuwa na furaha ndani ya kikosi hichoNa pia kutotimiziwa baadhi ya matakwa yake lakini ni kama bado mabosi wa timu hiyo  walikuwa wakiihofia kumuachia kutokana na kukosa mbadala wake.

Mwanaspoti tulikupa taarifa ya beki wa kati wa Simba Joash Onyango kuhusishwa Singida Fountain Gate na sasa rasmi ndani ya uzi wa Singinda wakitolewa kwa mkopo na wanamsimbazi


Onyango aliyepo Kenya kwa sasa, aliomba kuondoka lakini viongozi walikuwa wasikilizia dili la Che Fondoh Malone ili kuja kuziba nafasi yake aungae na Kennedy Juma na Henock Inonga

Kutemwa kwa wachezaji huo kutaifanya Simba kufikisha idadi ya nyota 11 waliopewa 'Thank You' wakiwamo Jonas Mkude, Erasto Nyoni, Gadiel Michael, Kipa Beno Kakolanya, Victor Akpan, Nelson Okwa, Augustine Okrah, Ismael Sawadogo na Mohamed Ouattara.