Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

656 results for Victoria Melkiad :

  1. Kaseke: Pamba Jiji mechi moja tu freshi

    KIUNGO mshambuliaji wa Pamba Jiji, Deus Kaseke amesema kwa hali ilivyo kwa timu hiyo inahitaji ushindi wa mechi moja tu kati ya mbili ilizonazo ili kubaki Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao.

    KASEKE Pict
  2. PRIME Kocha Simba afichua walivyofurahia Azizi Ki kutimka

    KITENDO cha Aziz KI kukubali dili la kutua Wydad, atakuwa anaweka kwenye waleti mshahara wa Sh72.3 milioni kwa mwezi. Ni mara mbili ya aliokuwa akilipwa Yanga.

    ROBERTINHO Pict
  3. PRIME Saa mbili nzito za Fadlu, wachezaji waazimia haya

    KIKOSI cha Simba kimeshatinga visiwani Zanzibar tayari kwa maandalizi ya mechi ya pili ya fainali za Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco, lakini kabla ya kuondoka jijini Dar...

  4. Chukwu mipango imetimia Singida BS

    KIUNGO wa Singida Black Stars, Morice Chukwu raia wa Nigeria, amesema mipango ya klabu hiyo msimu huu inaendelea kutimia, huku akipiga hesabu za kimataifa mapema.

  5. PRIME Kitakachomtokea Pacome Yanga baada ya Aziz KI kuondoka

    KUONDOKA kwa Stephane Azizi Ki Yanga kumeibua jambo kwa staa wa timu hiyo, Pacome Zouzoua.

  6. CAF yampa mzuka Ouma Singida Black Stars

    KOCHA wa Singida Black Stars raia wa Kenya, David Ouma amesema kitendo cha kupata tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao, kwao kama benchi la ufundi, viongozi na...

    OUMA Pict
  7. Yao afanyiwa upasuaji Tunisia

    YANGA imefanya uamuzi mgumu wa kumpeleka beki wa kulia, Yao Kouassi kufanyiwa upasuaji kutokana na tatizo la muda mrefu alilonalo la goti lililomuweka nje ya uwanja.

    NANGU
  8. KIBADENI: Simba ikikaza, inabeba ndoo!

    MIAKA imepita, lakini rekodi ya kocha Abdallah 'King' Kibadeni, ya kuwa kocha mzawa aliyewahi kuifikisha Simba katika fainali ya Kombe la CAF 1993 haijavunjwa.

    KIBADENI Pict
  9. Kibadeni: Haikuwa rahisi kufika fainali 1993

    TAKRIBAN miaka 32 imepita tangu Simba ilipocheza fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993 wakati ambao Kocha Mkuu alikuwa Abdallah Kibadeni ‘King’, wakati timu hiyo leo itashuka tena uwanjani kucheza...

    KIBADENI Pict
  10. PRIME Simba, Musonda kuna kitu

    MAMBO ni moto na muda ni mchache. Simba itakuwa Morocco kukipiga na RS Berkane katika mechi inayotarajiwa kuwa ngumu na yenye hisia tofauti ya Kombe la Shirikisho Afrika, kwani wiki ijayo itakuwa...

    MUSONDA Pict
Previous

Page 2 of 66

Next