Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1030 results for Saddam Sadick :

  1. Prisons yakabidhiwa viongozi wa dini, kimila kuinusuru

    Kawia ufike. Ni neno unaloweza kueleza baada ya uongozi wa Tanzania Prisons kuwaita wadau kujadili namna ya kuinusuru timu hiyo kukwepa aibu ya kushuka daraja.

    Prisons Pict
  2. Ligi Kuu Bara leo utamu uko hapa

    KUNA uhondo wa mechi nne za Ligi Kuu Bara Jumapili hii ambapo zimekaa kimtego kweli, huku kila timu ikipiga hesabu kali kinoma.

  3. Mbosso aiombea Tanzania tuzo za hifadhi Afrika

    SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) limeingiza Hifadhi 10 kuwania tuzo za hifadhi bora Afrika, huku msanii Mbwana Yusuph 'Mbosso' akiomba wananchi kupigia kura kwa wingi ili Tanzania...

  4. KenGold wajipa matumaini Ligi Kuu Bara

    WAKATI Kocha Mkuu wa Ken Gold, Omari Kapilima akituliza presha kwa mashabiki, timu hiyo haishuki daraja, habari njema ni baadhi ya mastaa waliokuwa nje kwa changamoto mbalimbali huenda wakarejea...

    KAPILIMA Pict
  5. PRIME Fei Toto atoa kauli nzito Azam FC

    KIUNGO wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema mechi sita zilizobaki ni kucheza kufa na kupona kwani lolote linaweza kutokea katika vita ya ubingwa, huku akifichua siri kinachomkwamisha kufunga...

    FEISAL Pict
  6. Mwenyekiti Soka la Wanawake Mbeya afariki dunia

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Soka la Wanawake Mkoa wa Mbeya (MWFA), Atupakisye Jabir, amefariki dunia leo Aprili 3, 2025 wakati akipatiwa matibabu kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini...

    KIFO Pict
  7. Sillah, Saadun wailiza KenGold, Taoussi achekelea

    Harakati za kujinasua mkiani kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara zimeendelea kuwa ngumu kwa KenGold baada ya kukumbana na kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Azam FC. Katika mchezo wa leo Aprili 3, 2025...

    Mbeya Pict
  8. Dakika 450 za Malale kufa, kupona Mbeya City

    Kocha Mkuu wa Mbeya City, Malale Hamsini amesema anafahamu ugumu uliopo katika Ligi ys Championship huku akieleza kuwa mkakati wake ni kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo kuirejesha Ligi Kuu Bara.

  9. Morrison asimulia machungu kuikosa Ligi

    WINGA wa Ken Gold, Bernard Morrison amesema licha ya kurejea mazoezini na wenzake lakini bado hajawa fiti kucheza mechi akiomba muda zaidi kuwa sawa, huku akilia kuikosa Ligi Kuu.

  10. Mayanga awavuruga Mbeya City akitajwa kuibukia Mashujaa

    Tetesi za kuondoka kwa Kocha Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga zimeonekana kuwashtua vigogo wa timu hiyo wakieleza kuwa bado hawajapata taarifa rasmi, huku wakitoa msimamo mzito.

    New Content Item (1)
Previous

Page 2 of 103

Next