Yanga yakwaa kisiki CAS, TPLB kutangaza ratiba mpya ya ligi punde MAKAHAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imeitupa rufani ya Klabu ya Yanga iliyofungua dhidi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Yanga kutesti tena Kombe la Muungano KIKOSI cha Yanga usiku wa leo kitarudi tena kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba kuvaana na Zimamoto katika mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Muungano, ikilenga zaidi kuboresha rekodi...
PRIME Simba v Stellenbosch hizi hapa dakika za mtego NI wazi dakika 45 za kwanza zitatoa picha ya timu ipi inaweza kusonga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika pale Stellenbosch itakapokuwa mwenyeji wa Simba, Jumapili hii.
Maajabu ya Ahoua CAF, akifunga tu kuna jambo MFUNGAJI wa bao pekee katika mchezo wa kwanza ulioipa Simba ushindi wa 1-0 dhidi ya Stellenbosch, Jean Charles Ahoua, ana maajabu yake kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu.
PRIME Siku 15 ngumu kwa Simba SC SIMBA tayari ipo Sauzi ikiendelea kujifua kujiandaa na mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Stellenbosch, huku kocha wa kikosi hicho, Fadlu Davids...
JKU yaitupa nje Singida Black Stars Muungano Cup JKU kutoka kisiwani Unguja, imefuzu nusu fainali ya Kombe la Muungano baada ya kuifunga Singida Black Stars ya Tanzania Bara kwa penalti 6-5 katika mchezo wa robo fainali ya kwanza uliochezwa leo...
PRIME Mabao 12 ‘aliyopeana’ John Noble Ligi Kuu Bara TUHUMA zinazomkabili kipa wa Fountain Gate, John Noble, raia wa Nigeria hadi uongozi kumsimamisha kupisha uchunguzi ni kucheza chini ya kiwango dhidi ya Yanga huku akidaiwa kuchangia timu yake...
Mtihani KenGold baada ya kushuka LICHA ya KenGold kushuka daraja huku ikiwa na michezo mitatu mkononi, lakini bado timu hiyo inakabiliwa na mtihani mmoja wa kuhakikisha haiachi rekodi mbaya zaidi kwenye Ligi Kuu Bara.
Fountain Gate na rekodi mpya Ligi Kuu KICHAPO cha mabao 4-0 ilichopokea Fountain Gate kutoka kwa Yanga, kimeweka rekodi mpya ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu ikiipiku Mashujaa.
DAKIKA ZA JIOOONI: Namungo grafu inashuka HATA itokee miujiza kiasi gani, lakini Namungo haitaweza kuvuka pointi 40 katika mechi tatu zilizobaki. Hiyo inatokana na sasa kuwa nazo 31. Msako wa pointi hizo 40, unairudisha timu hiyo katika...