Chama la Edwin Balua lina historia TAARIFA mbalimbali zinaeleza kuwa kiungo wa Simba, Edwin Balua ametolewa kwa mkopo wa mwaka mmoja kwenda Enosis Union Athletic Paralimni FC ya Cyprus.
Kiungo Mtanzania awindwa na Waarabu KIUNGO Mtanzania Suzana Adam, ambaye alikuwa anakipiga FC Masar ya Misri, anawindwa na timu za Ligi Kuu nchini humo na Morocco.
Pipino: Kutoka Magnet, KMC hadi Stars KATI ya majina 10 ya vijana yaliyochipukia kwa kasi Ligi Kuu Bara kwa kuonyesha kiwango bora msimu ulioisha hivi karibuni, jina la Ahmed Bakari ‘Pipino’ linazidi kuwa gumzo.
Pacome awatema Chama na Kibu MVP, Juni KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Juni wa Ligi Kuu Bara akiwaacha Clatous Chama na Kibu Denis wa Simba.
Watatu Simba wajiandaa kutua Yanga SIMBA Queens imeshawapa taarifa wachezaji ambao haitakuwa nao msimu ujao na kati yao watatu wanahusishwa kujiunga na Yanga Princess.
JKT Queens yabeba kipa Mashujaa JKT Queens msimu huu ndiyo itaiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya CECAFA ya kufuzu Ligi ya Mabingwa kwa Wanawake na tayari imeanza maboresho kwenye baadhi ya maeneo ikiwemo langoni.
Opah Clement arejea kuibeba Twiga Stars Baada ya kocha wa Twiga Stars Bakari Shime kusema kuwa walipoteza mchezo uliopita wa Kombe la Mataifa Afrika kwa Wanawake (WAFCON) kutokana na kuwakosa baadhi ya mastaa wake, leo mshambuliaji...
Beki mkongoman atajwa Azam FC AZAM FC imeanza mazungumzo na Al Hilal ya Sudan ili kupata saini ya beki wa kulia, mkongomani Steven Ebuela, ambaye yuko nchini kwa takriban wiki sasa.
WAFCON 2024: Twiga Stars hata droo tu BAADA ya kuanza vibaya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON), timu ya taifa ya soka ya wanawake, Twiga Stars usiku wa leo inarudi tena uwanjani kutesti zali kwa kukabiliana...
Kumekucha Yanga, mastaa sita Kuachwa BAADA ya Yanga Princess kuonyesha kiwango kizuri msimu huu, itaachana na wachezaji sita na kuongeza nyota wapya.