Straika Stellenbosch aingiwa ubaridi, adai Simba ni hatari Kwa mara nyingine macho na masikio ya wapenda soka yataelekezwa Zanzibar, Jumapili hii, pale Simba itakapoumana na Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe...
Kocha Mwingereza aitabiria Simba makubwa KOCHA wa zamani wa Simba, Dylan Kerr aliyepo kwa sasa Marekani kwa mapumziko, ameshindwa kujizuia na kuwatabiria Wekundu wa Msimbazi kufika fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika...
Tabora United, KenGold hazichekani KATIKA hali isiyo ya kawaida kwa timu mbili zilizo katika nafasi tofauti kabisa kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Tabora United na KenGold zimejikuta kwenye mkondo mmoja wa matokeo baada ya...
PRIME Mastaa Simba wakwepa mtego CAF KITENDO cha mastaa wa Simba SC kucheza kwa nidhamu kubwa dhidi ya Al Masry katika michezo miwili ya hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kimewaepusha na mtego wa CAF unaoweza...
PRIME Ligi Kuu Bara yapasuka vipande vitatu ZIMEBAKI hatua chache kumfahamu bingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu sambamba na zile timu zitakazoshuka daraja. Wakati hayo yakisubiriwa kwa hamu hivi sasa ligi hiyo imegawanyika vipande vitatu.
Singida Black Stars inavyofukuzia ufalme wa Azam FC SINGIDA Black Stars ni moja ya timu zinazovutia Ligi Kuu Bara ikionyesha kiwango cha juu msimu huu kikiwa ni kielelezo cha mabadiliko makubwa kutoka msimu uliopita na ilikuwa ikifahamika kama Ihefu.
Sowah awapiga bao Dube, Ahoua KATIKA msimu huu wa Ligi Kuu Bara vita ya ufungaji imekuwa kali zaidi kuliko misimu uliopita kwa wachezaji wengi kuibuka na kuonyesha makali - mmoja kati yao akiwa ni Jonathan Sowah wa Singida...
PRIME Kocha Stellenbosch awahofia Mpanzu, Kibu KOCHA wa Stellenbosch FC, Steve Barker, ameanza kuingiwa ubaridi kabla ya kuvaana na Simba katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, akiwataja Kibu Denis na Elie Mpanzu kuwa...
PRIME STELLENBOSCH: Wasauz walioshika tiketi ya Simba fainali CAF WANA nusu fainali wawili wanaokwenda kukutana katika Kombe la Shirikisho Afrika, Simba na Stellenbosch FC, wameweka rekodi mpya kutokana na kufika hapo kwa mara ya kwanza.
Simba yaing'oa Al Masry, yatinga nusu fainali CAFCC HISTORIA imeandikwa! Mnyama ameenda nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Al Masry ya Misri kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.