Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

53 results for Bertha Ismail :

  1. LaLiga yajitosa michuano ya Chipkizi Cup

    Zaidi ya timu 220 za soka la vijana Kutoka nchi mbalimbali zimethibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Chipkizi Afrika Mashariki msimu wa 13 inayotarajiwa kufanyika jijini Arusha, Desemba 13-18...

  2. Anjelina, Giniki washinda mbio za Ngorongoro race

    Wanariadha Shing'ade Giniki na Anjelina John wamefanikiwa kuibuka washindi wa mbio za Ngorongoro race zilizofanyika leo Septemba 25, 2022 katika viwanja vya mazingira Bora ulioko Karatu mkoani...

  3. Ngorongoro watengea wanariadha, milioni 7

    Waandaaji wa mbio za Ngorongoro wametenga Sh7.4 milioni kwa ajili ya kuwazawadia wanariadha watakaoshinda katika mbio zao. Mbio hizo zinatarajia kufanyika Septemba 25 mwaka huu katika barabara...

  4. Wanariadha wa Kenya wang'ara mashindano FEASSSA

    Wanariadha kutoka nchini Kenya wamefanikiwa kufanya vema katika Mashindano ya shule za msingi na sekondari Kwa nchi za Afrika mashariki (FEASSSA) kunyakua jumla ya medali 37. Mashindano hayo ya...

  5. Ligi Daraja la Kwanza yaanza kwa kishindo, Mbuni yatakata

    TIMU ya Mbuni FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wageni wao Ndanda FC kutoka Mtwara katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

  6. Ndanda yaipiga mkwara Mbuni

    Timu ya Ndanda FC 'wanakuchere' imempiga mkwara mpinzani wake Mbuni FC kuelekea mchezo wao unaotarajiwa kuchezwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha.

  7. Arusha City, Nyota FC wafuata nyayo za Yanga

    Wakati mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga, jana wakifanya makamuzi ya kuinyuka timu ya Zalan FC ya Sudan jumla ya mabao 4-0, wadogo zao Arusha City wamefuata nyayo hizo Kwa kuifunga Timu ya...

  8. Coastal yashindwa kutamba kwa Polisi

    Timu ya Coastal Union ya Tanga imeshindwa kufurukuta nyumbani katika mchezo dhidi ya Polisi Tanzania baada ya kuhitimisha dakika 90 kwa sare ya bila kufungana.

  9. Polisi yatuma salamu Coastal Union

    Timu ya Polisi Tanzania, imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbuni FC katika mchezo wao wa kirafiki uliopigwa katika viwanja vya ISM jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi kuelekea...

  10. 30 wahitimu stashahada ya ukocha Arusha

    Jumla ya makocha 30 wamefanikiwa kuhitimu mafunzo ya ukocha ngazi ya stashahada ya shirikisho la soka Afrika daraja D (CAF diploma D) yaliyofanyika Kwa siku 10 mkoani Arusha. Mafunzo hayo...

Previous

Page 2 of 6

Next