Si mchezo... Rihanna mjamzito tena, sikia alichokisema!
MKALI wa Pop na RnB Marekani, Rihanna, 37, anagonga vichwa vya habari duniani baada ya kuweka wazi anatarajia kupata mtoto wa tatu pamoja na mpenzi wake wa kitambo rapa Asap Rocky, 36, kutokea...