PRIME Soka la kisasa lilivyohamia kwenye maroboti PATRICE Latyr Evra. Beki wa kushoto wa zamani wa klabu kibao vigogo huko Ulaya kama AS Monaco, Manchester United, Juventus kwa kuzitaja kwa uchache pamoja na timu ya taifa ya Ufaransa, amekiri...
Mastaa wa Man United washona suti za ubingwa WEITA ongeza glasi. Ndivyo shangwe litakavyokuwa kwa mashabiki wa timu ambayo itakuwa imeshinda kati ya Manchester United na Tottenham Hotspur zitakazokutana kwenye fainali ya Europa League usiku...
Jude Bellingham kuungana na Rudiger BAADA ya Antonio Rudiger kufanyiwa upasuaji wa goti, staa mwingine wa Real Madrid, Jude Bellingham yuko katika hatua za mwisho kufanyiwa upasuaji wa bega kutokana na tatizo la muda mrefu...
PRIME BALAA! Tishio jipya afya za mastaa Ligi Kuu bara LIGI Kuu Bara ipo ukingoni kabla ya kufikia tamati, huku zikiwa zimeshapigwa mechi 210 ikiwamo iliyochezwa jana jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kati ya wenyeji Simba na Mashujaa...
De Bruyne aandaliwa mechi yake Etihad MANCHESTER City imefichua mechi yao dhidi ya Bournemouth itakayopigwa baadaye mwezi huu itakuwa maalumu kwa ajili ya kumuaga kiungo wao, Kevin De Bruyne.
Kompyuta yaiondoa Arsenal kwa PSG BAADA ya kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa mechi ya nusu fainali kwa bao 1-0 kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Emirates dhidi ya PSG, Arsenal imetabiriwa kuwa na asilimia ndogo za kwenda...
PRIME Mazito yaibuka mastaa Ligi Kuu kubeti, vita ngazi zote makocha wafunguka -2 JANA tulianza kuchapisha makala za ripoti ya kuangalizia jinsi wachezaji, viongozi na watu wao wa karibu wanavyojihusisha na suala la uchezaji kamari kwenye mechi za Ligi Kuu Bara, ambapo tuliona...
Martha Mwaipaja, Angel Magoti kazi ipo JUMLA ya kazi 529 za wasanii wa muziki wa Injili zimepokewa na Waandaaji wa Tuzo za Muziki wa Injili nchini (TGMA), ili kuanza mchakato wa kupata wakali watakaotunukiwa heshima siku ya hafla ya...
Tiketi za ubingwa Liverpool ni milioni 11 LEO ni siku maalumu kwa mashabiki wa soka wa Liverpool. Licha ya ukweli huenda ikawa siku ya maumivu kwa majirani zao Everton na wapinzani wao Manchester United, lakini hii ni siku muhimu...
Meridian Bet Tanzania | Jinsi ya kujisajili | www.meridianbet.co.tz | Promo code: 1109 Meridian bet Tanzania nikampuni ya kubeti nchini tanzania iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria. Katika kampuni hii unaweza kubeti au kucheza Casino Mtandaoni.