Search

140 results for Kelvin Kagambo :

  1. Jay Melody anataka nini kupitia albamu yake mpya?

    Miaka fulani hapo nyuma kabla Jay Melody hajawa Jay Melody tunayemjua leo nilisikia baadhi ya ngoma zake nikajisemea mwenyewe kimoyomoyo “huyu dogo ni mtu hatari”. Na sikuishia hapo nyimbo zake...

  2. TID kaelewa 'assigment', ila awe makini na watoto wa 2000

    KAMA wewe ni mtu wa mitandao bila shaka unafahamu kinachotrendi wiki hii ni vita ya maneno kati ya msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’ na msanii wa kisasa wa muziki...

  3. TUONGEEKISHKAJI: Kwanini wasanii wanapenda kusimulia shida?

    MTU mmoja aliniuliza, “kwani ni lazima watu maarufu hususan wasanii wanapoongelea maisha yao waseme kwamba walitokea kwenye maisha ya tabu?” Ni kawaida kusikia stori kwamba “baba yangu...

  4. TUONGEKISHKAJI: Msilalamike kuhusu Grammy, Afrika haina nchi tatu

    TUZO za Grammy zilitolewa majuzi na katika kipengele cha Msanii Bora Afrika alishinda Tyla Laura Seethal maarufu Tyla kutoka Afrika Kusini na wimbo wake wa Water. Na kama kawaida, ushindi wa...

  5. TUONGEEKISHKAJI: Ngoma za TikTok ni kama wauza simu feki Kariakoo

    KAMA hujawahi kufika Bongo, Dar es Salaam, ngoja nikusimulie moja ya staili za wizi na utapeli zinazofanyika katika jiji hili la wajanja ili ikitokea siku umekuja usiwe mgeni kivile. Kuna staili...

  6. Ngoma za TikTok zina balaa wewe!

    KAMA hujawahi kufika Bongo, Dar es Salaam, ngoja nikusimulie moja ya staili za wizi na utapeli zinazofanyika katika jiji hili la wajanja ili ikitokea siku umekuja usiwe mgeni kivile. Kuna...

  7. TUONGEE KISHKAJI: Mamlaka husika zisiwachukulie ‘serious’ wasanii

    SIKU moja mchekeshaji ambaye anavuma kwenye mtandao wa Youtube, Clam Vevo alikuwa anahojiwa na chombo kimoja cha habari. Wakati wa mahojiano akaulizwa kuhusu kipato anachopata kupitia mtandao...

  8. 2024 ukilinganisha sanaa yetu bongo, majuu na ukweli

    MWAKA 2024 tukimsikia mtu anasema sitazami Bongo Movie kwa sababu hazina ubora kama muvi za Ulaya na Hollywood, Marekani tutamkumbusha akiumwa asiende hospitali za Tanzania na akitaka kutoka...

    New Content Item (1)
  9. TUONGEEKISHKAJI: Hapa Simba pale Yanga, kule Mondi, Kiba na Nandy

    Kama siku wasanii wa muziki Tanzania wataamka na akili kama za Simba na Yanga nadhani tutapiga hatua kubwa zaidi ya tulipo kwenye muziki kwa sababu upinzani wa wasanii wa muziki unatajwa kuwa...

  10. TUONGEEKISHKAJI: Dua kwa wasanii wetu wawe na mwisho wa kupendeza

    DEAR God, tunatambua mtaani kuna madogo wengi uliowapa vipaji, kuna wanasoka kama Samatta, kuna watu wana rap kumzidi Young Lunya, kuna watu wenye voko kali Damian Soul haoni ndani, kuna...

Page 1 of 14

Next