Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

474 results for Ibrahim Mussa :

  1. MAONO: Kuna ngumi nilipigwa, nikaona ‘mvua’ ulingoni

    LICHA ya kuonekana mmoja kati ya vijana wapole kutoka katika mitaa ya Bagamoyo mjini, eneo maarufu zaidi kama mji wa kale wa kihostori huku vijana wake wengi wakijihusisha na shughuli za uvuvi na...

    MAONO Pict
  2. PRIME Vita ya usajili 2025/26 inaanzia hapa

    LIGI Kuu Bara ipo ukingoni kwa sasa ikiwa imesaliwa na mechi za raundi tatu kabla ya msimu kufikia tamati Juni 22, huku mbio za ubingwa zikisalia kwa vigogo Simba na Yanga tu, ilihali Azam FC na...

    USAJILI Pict
  3. KINAPIGWA: Hatimaye Kiduku, Pialali warudi mjini

    MEI 24, mwaka huu kwenye Viwanja vya Posta Kijinyama, jumla ya mabondia 30 watapanda ulingoni katika pambano la kimataifa la Knockout ya Mama phase 4, wakiwemo mabondia wenye majina makubwa...

  4. MBELWA: Kazichapa mara 100, lakini anaishi kama hana rekodi

    MPAKA anaachana na mchezo wa ngumi za kulipwa nchini mwaka 2013, bondia Rashidi Matumla 'Snake Boy' aliishia kucheza mapambano 72 pekee katika mchezo huo huku akibeba mikanda mbalimbali.

    MBELWA Pict
  5. Hassan Waziri afichua kilichomplekea ulingoni

    Tanga ni miongoni mwa mikoa ambayo imefanikiwa kuzalisha vipaji vya mchezo wa ngumi.

  6. Buriani Uncle Lundenga, tangulia kamanda!

    Mratibu huyo wa zamani wa shindano la urembo la Miss Tanzania, aliyekumbwa na mauti baada ya kuugua kwa muda mrefu atakumbukwa kwa mengi katika tasnia ya urembo, muziki pamoja na michezo.

    LUNDENGA Pict
  7. Sungu Mtata 'ndondo' za ngumi mtaani zinavyomtoa

    KUTOKA Kibiti hadi Ikwiriri Mkoa wa Pwani, ndiyo mitaa ambayo bondia chipukizi wa ngumi za kulipwa kwenye uzani wa Super Walter, Ramadhan Mkwakwate maarufu zaidi kama Sungu Mtata ndiko anakotokea.

  8. MIGWEDE: Vipigo, kufukuzwa chanzo cha ubondia

    CHANIKA jijini Dar es Salaam ni moja ya maeneo yenye watu wengi waliokuwa wakiishi katikati ya jiji hilo wakiwamo wanamichezo mbalimbali.

  9. Si mchezo… Simba ya kibabe walipo kwa sasa

    HUKO mtaani kuna ka-ligi flani ka ubishi kanakoendelea miongoni mwa mashabiki na wapenzi wa soka hasa wale Simba. Ubishani huo unahusu kikosi bora cha muda wote cha Simba tangu klabu hiyo...

    SIMBA Pict
  10. Yanga yaipiga Tabora United, Dube, Mzize wamkaribia Ahoua

    KISASI ni haki! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United, katika mchezo uliopigwa leo kwenye Uwanja wa...

Page 1 of 48

Next