PRIME Kocha Simba aionya Yanga mapema KLABU ya Simba imekuwa gumzo barani Afrika katika msimu wa 2024/25, si kwa sababu tu ya kufika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, bali kwa namna ilivyoweza kusimama imara licha ya kuwa na...
PRIME Fadlu amaliza utata, mastaa zaidi ya saba kufyekwa MASHABIKI wa Simba bado wanaendelea kutafakari namna chama lao lilivyoshindwa kufanya kweli katika michuano iliyoshiriki msimu uliomalizika hivi karibuni kuanzia katika Ligi Kuu Bara, Kombe la...
Dante aaga KMC akicha maswali aendako BEKI wa kati wa zamani wa Yanga, Vincent Andrew ‘Dante’ ametangaza kuachana na KMC yenye maskani yake Kinondoni baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka mitano.
Jangwani hapatoshi, Mbosso aipiga Aviola Ni shamrashamra, burudani na furaha ya aina yake katika makao makuu ya Klabu ya Yanga, ambapo mashabiki kwa maelfu wamefurika kusherehekea kilele cha paredi la mataji matano, ikiwa ni hitimisho...
Badru arejea London kivingine, akichimba mkwara mzito MAKOCHA wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto ya kufanya kazi nje ya nchi hasa barani Ulaya lakini ni wachache ambao wamefanikisha hilo na mmoja kati yao ni Mohammed Badru.
PRIME Pacome, Ahoua utata wamalizwa VITA ya nani bingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu imemalizika kibabe baada ya Yanga kuichapa Simba mabao 2-0, mjadala mkubwa uliobaki sasa Tuzo ya Mchezaji Bora (MVP) wa ligi hiyo itakwenda wapi...
Ubingwa wa Yanga wamuibua Ramovic BAADA ya Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya nne mfululizo, aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo, Sead Ramovic amevunja ukimya na kutoa pongezi kwa klabu hiyo, huku akieleza fahari...
Dube ashindwa kujizuia, achekelea taji Ligi Kuu Bara KWA miaka minne alicheza katika Ligi Kuu Bara akiwa na Azam FC. Msimu baada ya msimu, ndoto yake ya kutwaa ubingwa iliendelea kuwa mbali licha ya juhudi kubwa alizoweka uwanjani.
PRIME Simba inavyousaka ufalme 2024/25 KATIKA historia ya soka la Tanzania, Simba ni miongoni mwa klabu zenye mafanikio makubwa na mvuto wa mashabiki, huku ikiwa na upinzani wa jadi na Yanga.
Kikoti yeye na Coastal Union KIUNGO Lucas Kikoti ameweka wazi kuwa, licha ya mkataba wake kumalizika rasmi mwishoni mwa msimu huu, moyo wake bado uko Coastal Union na hiyo ndiyo sababu anataka kuipa kipaumbele klabu hiyo...