Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

749 results for Nevumba Abubakar :

  1. Kwa Mkapa kweupeee

    UWANJA wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ambao utatumika kuchezewa mechi ya dabi kati ya Yanga na Simba uko mweupe kwenye baadhi ya majukwaa.

    NDANI Pict
  2. Yusuph Athuman arudi bongo

    MSHAMBULIAJI Yusuph Athuman aliyekuwa anakipiga Yangon United inayoshiriki Ligi Kuu ya Myanmar amesema amerejea nchini baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo nchini humo.

    Yusuph Pict
  3. Shafii Lumambo anasikilizia Uturuki

    KIUNGO mshambuliaji wa Kitanzania anayekipiga Beykoz Anadolu Spor ya Uturuki, Shafii Omary Lumambo amesema bado hajasaini mkataba mpya na chama hilo, zikiwa zimesalia siku chache kumaliza mkataba...

    SHAFII Pict
  4. Mgogoro wa Iran, Israel wamkwamisha Wazir Jr Iraq

    MSHAMBULIAJI wa Al Mina’a, Wazir Jr Shentembo amesema mgogoro kati ya Iran na Israel umesitisha safari za ndege kwa timu kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

    WAZIRI Pict
  5. Opah Clement kurudi Ligi Kuu China

    BEIJING Beikong inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake China iko kwenye mpango wa kumsajili nyota wa zamani wa Simba, Opah Clement.

    OPA Pict
  6. Tausi FC inakuja kuwashika au kupita kama wengine?

    SOKA la wanawake limeanza kushika kasi nchini na duniani kwa ujumla, ambapo nyota kadhaa wa ndani na kimataifa wamekuwa wakishiriki kila mwaka mashindano ya ligi za ndani.

    TAUSI Pict
  7. Shime: Uganda imetupa maswali magumu

    KOCHA wa Timu ya Taifa 'Twiga Stars', Bakari Shime amesema ushindi dhidi ya Uganda jana wa mabao 2-0 umewapa maswali magumu ya kujiuliza kuelekea mechi ya kesho, Juni 21 dhidi ya Kenya.

    STARS Pict
  8. Tanzania yaendeleza vichapo CECAFA

    TWIGA Stars ambayo ni timu taifa ya Tanzania upande wa soka la wanawake, imeendelea kutoa vichapo kwenye michuano ya CECAFA Senior Women Championship baada ya kuitandika Burundi mabao 6-0.

    TWIGA Pict
  9. Fursa tamu zitakazomfuata Mobetto

    USAJILI wa kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga na timu ya taifa ya Burkina Faso, Stephanie Aziz Ki kwenda Wydad Casablanca ya Morocco hivi karibuni na hatimaye kwenda kupiga katika fainali za...

    MOBETTO Pict
  10. Tausi bingwa Daraja la Kwanza wanawake

    NI rasmi kwamba Tausi FC maarufu kama Ukerewe Queens imekuwa bingwa wa Ligi Daraja la kwanza (WFDL) kwa wanawake baada ya kuichapa Bilo Queens kwa mabao 3-0 kwenye fainali iliyopigwa katika...

    TAUSI Pict

Page 1 of 75

Next