Dodoma Jiji yashtukia janja ya Azam FC BAADA ya Azam FC kumpigia hesabu za kumrejesha aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho, Idd Kipagwile, mabosi wa Dodoma Jiji wameshtukia dili hilo mapema na kuamua kumwongezea mkataba wa...
Mbeya City yavamia dili la beki Simba MABOSI wa Mbeya City wameanza kuingilia kati dili la beki wa kati wa Simba, Hussein Kazi ambaye mkataba wake na kikosi hicho cha Msimbazi umefikia tamati msimu huu, baada ya awali nyota huyo...
Kocha Mkongomani anukia Dodoma Jiji MABOSI wa Dodoma Jiji FC wako katika mazungumzo ya kuipata saini ya aliyekuwa kocha wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi baada ya kuvutiwa na uwezo wake, wakiamini atatengeneza kikosi...
Saliboko mikononi mwa maafande MAAFANDE wa JKT Tanzania wako katika mazungumzo kwa ajili ya kuipata saini ya mshambuliaji wa KMC FC, Daruweshi Saliboko ili kuichezea timu hiyo msimu ujao, baada ya kuonyesha nia ya kuhitaji...
Straika Mbeya City anukia Mashujaa VIONGOZI wa Mashujaa FC wako katika mazungumzo ya kupata saini ya aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya City, Mudathir Said baada ya nyota huyo aliyeirejesha timu hiyo Ligi Kuu kumaliza mkataba wa...
Pamba yarejea kwa straika Mzenji BAADA ya mabosi wa Pamba Jiji FC kumkosa mshambuliaji wa Mlandege, Abdallah Iddi ‘Pina’, katika dirisha dogo la Januari 2025, inaelezwa wameanza tena harakati hizo upya, ili kuhakikisha msimu...
Andrew Simchimba asakwa Dodoma Jiji UONGOZI wa Dodoma Jiji umeanza kumpigia hesabu mshambuliaji wa Geita Gold, Andrew Simchimba kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano mbalimbali, akitajwa ni mbadala sahihi wa aliyekuwa nyota wa...
Mido ya boli awindwa Azam FC MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC, wanaendelea na maboresho ya kikosi hicho kimya kimya kwa ajili ya msimu ujao ili kuleta ushindani, ambapo kwa sasa wameanza mazungumzo ya kuipata saini...
Stand United, Fountain Gate kitawaka Shinyanga VITA ya kuisaka tiketi ya kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao inaendelea leo kwa mechi ya play-off kati ya wenyeji Stand United ya Ligi ya Championship na Fountain Gate ya Ligi Kuu Bara...
Ibenge aaga rasmi Al Hilal, njia nyeupe Azam FC ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Al Hilal Omdurman ya Sudan, Florent Ibenge amewashukuru wafanyakazi, wachezaji, watendaji, mashabiki na watu wote wa Sudan kwa kipindi cha miaka mitatu aliyofanya nao...