Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

952 results for Waandishi Wetu :

  1. PRIME Simba yaonyesha ukubwa Morocco

    SIMBA haijasafiri kinyonge kutoka Dar es Salaam kuja hapa Casablanca, Morocco ambako itakaa kwa muda kisha kwenda Berkane ambako Jumamosi ya Mei 17, 2025 itashuka Uwanja wa Manispaa ya mji wa...

  2. Azam ya ubingwa hii hapa

    AZAM FC ni kama imemaliza msimu mapema. Ilianza kung’olewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika iliyorejea msimu huu baada ya kupita miaka 10 tangu ilipoicheza mara ya kwanza na mwisho 2015.

    UBINGWA Pict
  3. Jamie Carragher ashangaa Trent kuzomewa

    GWIJI wa Liverpool, Jamie Carragher amekiri kushangazwa kwa kitendo cha mashabiki wa timu hiyo kumzoea Trent Alexander-Arnold kwenye mchezo dhidi ya Arsenal uliofanyika uwanjani Anfield, Jumapili.

    TRENT Pict
  4. Arteta alia kikosi chembamba

    KOCHA wa Arsenal Mikel Arteta ameahidi kwamba dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi kikosi chake kitafanya usajili mkubwa kwa sababu msimu huu kilikuwa na kikosi chembamba.

    KIKOSI Pict
  5. Duh! Tajiri wa Forest amvaa kocha uwanjani

    KOCHA wa Nottingham Forest, Nuno Espirito Santo amesema anazielewa hasira za mmiliki wa klabu hiyo, Evangelos Marinakis baada ya kumvamia uwanjani na kuanza kubwata baada ya sare ya mabao 2-2...

    TAJIRI Pict
  6. PRIME Dabi ya Kariakoo yapelekwa mkutano mkuu Yanga

    BAADHI ya wanachama wa Klabu ya Yanga wamefikia hatua ya kuiandikia barua Kamati ya Utendaji kuomba kufanyika mkutano mkuu wa dharura kabla ya Juni 15, mwaka huu.

  7. PRIME Vita ya usajili 2025/26 inaanzia hapa

    LIGI Kuu Bara ipo ukingoni kwa sasa ikiwa imesaliwa na mechi za raundi tatu kabla ya msimu kufikia tamati Juni 22, huku mbio za ubingwa zikisalia kwa vigogo Simba na Yanga tu, ilihali Azam FC na...

    USAJILI Pict
  8. Mo Salah mchezaji bora wa mwaka

    SUPASTAA wa Liverpool, Mohamed Salah amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari huko England baada ya staa huyo wa Misri kupigiwa kura zaidi ya asilimia 90.

    MO SALAH Pict
  9. Si mchezo... Rihanna mjamzito tena, sikia alichokisema!

    MKALI wa Pop na RnB Marekani, Rihanna, 37, anagonga vichwa vya habari duniani baada ya kuweka wazi anatarajia kupata mtoto wa tatu pamoja na mpenzi wake wa kitambo rapa Asap Rocky, 36, kutokea...

    RIHANA Pict
  10. PRIME Maswali saba mapya Dabi ya Kariakoo, hiki kitaikuta Yanga ikigoma

    WAKATI wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakicharuka Bungeni kuhusu Dabi ya Kariakoo, kuna maswali yanayohitaji majibu juu ya kile kinachoendelea baada ya Bodi ya Ligi Kuu...

    New Content Item (1)

Page 1 of 96

Next