Imeisha hiyo, Sancho kurejea Man United Mabosi wa Manchester United wamesafiri kwenda Ujerumani kukutana na winga wao Jadon Sancho kufanya mazungumzo maalumu yenye lengo la kumshawishi staa huyo wa England arudi Old Trafford msimu ujao.
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers