Search

652 results for Thomas Ng'itu :

 1. Morrison bado ni yuleyule

  Licha ya kufungua vizuri Ligi msimu huu, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison hajawa na uhakika wa kucheza mechi mfululizo kwenye kikosi cha timu hiyo.

 2. Azam nayo inautaka ubingwa

  AZAM FC inaonekana kuupania ubingwa wa Ligi Kuu Bara kutokana na matokeo mazuri wanayoendelea kuyapata hadi sasa huku kiungo wa timu hiyo, Isah Ndala akisema ubingwa ndiyo lengo lao msimu...

 3. Simba yapewa wajeda, Yanga Kurugenzi, Azam Malimao

  MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho Azam, Yanga imepangwa kucheza na Kurugenzi ya Simiyu inayoshiriki First League mchezo utakaochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa. Droo ya hatua ya 64 za kombe...

 4. Azam kuboresha uwanja wao

  MABOSI wa Azam FC wamepania kuuboresha uwanja wao ili kuendelea kukidhi vigezo vya Shirikisho la Soka Kimataifa (FIFA) sambamba Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Uwanja wa Azam Complex ni...

 5. Job ana rekodi tamu Yanga

  Licha ya kuwa na nyota wengi kwenye eneo la beki wa kati, Dickson Job amejihakikishia namba na kutengeneza rekodi ya kuwa beki pekee aliyecheza dakika nyingi kuliko yeyote msimu huu.

 6. Simba, Polisi ni suala la muda tu

  Polisi Tanzania ilipanda Ligi Kuu 2020/2021, lakini tangu hapo haijawahi kuifunga Simba katika mchezo wowote.

 7. Kaze: Unbeaten ina heshima

  KOCHA msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amesema kutofungwa kwao mechi 48 ni heshima kubwa kwao na mashabiki wa timu hiyo kwa misimu miwili mfululizo. Yanga ni timu pekee ambayo haijapoteza mechi...

 8. Makata anukia Polisi Tanzania

  ALIYEKUWA Kocha wa Mbeya Kwanza, Mbwana Makata yupo mbioni kujiunga na Polisi Tanzania ili kwenda kurithi mikoba ya Mrundi Joslin Bipfubusa. Polisi Tanzania iliachana na Joslin aliyechukuwa...

 9. Watatu Dodoma Jiji kuikosa Yanga

  JOTO la mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya Dodoma Jiji na Yanga Sc linazidi kupanda huku wenyeji wakitarajiwa kuwakosa nyota wake watatu katika mtanange huo. Mchezo huo unatarajiwa...

 10. Simba yafanya umafia kwa Mkapa, yapaa kileleni

  Ushindi huo unaifanya Simba ikae kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na pointi 27 ikicheza mechi 12 huku Yanga ikishika nafasi ya pili ikiwa na pointi 26 kwenye mechi 10.

Page 1 of 66

Next