Kumekucha Yanga, mastaa sita Kuachwa BAADA ya Yanga Princess kuonyesha kiwango kizuri msimu huu, itaachana na wachezaji sita na kuongeza nyota wapya.
Ibenge amtibulia dili beki KMC BAADA ya Azam FC kumtambulisha aliyekuwa kocha wa Al Hilal Omdurman ya Sudan, Florent Ibenge, inaelezwa kuwa dili la beki wa KMC, Raheem Shomari, limekufa baada ya kocha huyo kujiunga na Matajiri...
PRIME Hizi hapa sababu tano Sillah kusaini Yanga KUELEKEA msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, mabingwa watetezi Yanga wanadaiwa kuanza kufanya maboresho ya kikosi kwa kusaka nyota wenye uwezo wa kuongeza ushindani ili kuleta matokeo chanya katika...
Kiungo Mtanzania autamani ubingwa England KIUNGO mwenye asili ya Tanzania, Tarryn Allarakhia anayekipiga katika klabu ya Rochdale AFC ya England, amesema msimu huu wanaingia kwa nguvu mpya kuhakikisha wanatwaa ubingwa wa ligi hiyo baada...
Simon Msuva kusalia Iraq HUENDA mshambuliaji wa Kitanzania na timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Somon Msuva akasalia kwenye kikosi cha Al Talaba msimu ujao.
Twiga Stars yaanza mambo Wafcon 2024 LEO saa 4:00 usiku, timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars itashuka kwenye Uwanja wa Stade Municipal de Berkane, Morocco, kuivaa Mali katika mchezo wa kwanza wa Kundi C ya michuano ya...
Wazir JR kutimkia Saudi Arabia INAELEZWA Al Faisaly inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Saudia Arabia imemalizana na kocha Mhispania, Pablo Grandez lakini ametoa pendekezo la kuletewa straika Mtanzania, Wazir JR anayekipiga Al...
Singano ataja ugumu wa Mexico BEKI wa FC Juarez inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Mexico, Julietha Singano amesema ugumu wa ligi hiyo unamfanya aonyeshe jitihada zaidi.
Samatta apata pigo zito, afiwa na baba mzazi NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta 'Samagol' kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Pazi Samatta.
Mambo matano Twiga WAFCON ZIMEBAKI saa zisizozidi 24 kabla ya timu ya taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ kuandika historia katika mashindano ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2024 zilizoanza jana Jumamosi...