PRIME Ihefu kuendeleza ubabe kwa Yanga? LIGI Kuu Bara inaendelea tena leo kwa michezo miwili kupigwa huku macho na masikio ya mashabiki yakielekezwa kwenye Uwanja wa Highland Estate jijini Mbeya ambapo wenyeji Ihefu itaikaribisha...
Singida yaaga Kombe la Shirikisho Afrika WAWAKILISHI pekee waliokuwa wamebakia kwenye Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Singida Big Stars imetupwa nje rasmi katika mashindano hayo baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya Future...
Wiki mbili zampa presha Kondo MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu Bara, Mtibwa Sugar bado inajitafuta kwenye msimu huu, hukui kocha mkuu wa timu hiyo, Habib Kondo amesema licha ya timu hiyo kukaa bila ya kucheza kwa wiki mbili ni...
Malale awajia juu mastaa JKT KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Malale Hamsini amesema sababu kubwa ya timu hiyo kushindwa kutamba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar ni kutokana na wachezaji wa kikosi hicho...
PRIME Singida kazi moja tu Misri WAWAKILISHI pekee wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Singida Big Stars inatarajiwa kushuka Uwanja wa Al Salaam katika mchezo wa marudiano dhidi ya Future ya Misri kusaka tiketi ya makundi...
KMC yaiua Geita, Namungo yabanwa nyumbani GEITA Gold ikiwa uwanja wa nyumbani imepoteza mchezo mbele ya KMC baada ya kupokea kipigo cha mabao 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Nyankumbu, mjini Geita. Hicho kilikuwa...
Al Ahly, Berkane zatangulia makundi Afrika WAKATI kikosi cha Yanga kikijiandaa kushuka uwanjani usiku wa leo kurudiana na Al Merrikh ya Sudan katika mechi ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, timu tatu za Pyramids, Al Ahly zote...
Kwasi aanza kulipwa kwa mafungu KLABU ya Tabora United imeanza kumlipa aliyekuwa nyota wa kikosi hicho, Asante Kwasi ikiwa ni siku chache tu tangu mchezaji huyo afungue mashtaka ya kuidai fedha zake za usajili hivyo kusababisha...
PRIME Power Dynamos hofu kubwa Dar KIKOSI cha Power Dynamos kimeingia nchini jana kwa pambano la marudiano la raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Mwenya Chipepo akiingiwa na hofu...
Daktari agusia jeraha la Kramo DAKTARI wa Simba, Edwin Kagabo amesema nyota wa kikosi hicho, Aubin Kramo anaendelea vizuri na matibabu ya goti na kinachoendelea kwa sasa kwake ni taratibu mbalimbali ili kugundua ni lini...