UJANJA TU: Pep anachambua matukio yote ya mechi nzima KATIKA toleo lililopita kwenye uchambuzi wa kitabu cha Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau alielezea namna Kocha Pep Guardiola alivyo na tabia ya kuwafanyia tathmini wachezaji wake...
Pep kabadili mfumo ghafla TOLEO lililopita kwenye kitabu cha Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau alianza kwa kuzungumzia mfumo na wachezaji ambao Pep angewapanga katika mechi yake na Dortmund pamoja na...
Lahm, Hojbjerg kielelezo tosha cha falsafa za Pep Mwandishi Marti Perarnau aliendelea na mazungumzo yake na mchezaji Philipp Lahm wa Bayern na jambo moja ambalo Lahm alilizungumzia ni sifa ya Pep kuwa makini kwa kila jambo huku akiwa si...
MAKINI Pep Guardiola anakumbuka kila tukio baada ya mechi KATIKA toleo lililopita kwenye Pep Confidential, Mwandishi Marti Perarnau alizungumzia kuumwa kwa Thiago na matarajio ya mchezaji huyo kupona haraka huku Pep akimhakikishia watafanya kila...
Pep aunda tume kuisambaratisha Manchester United kwao TOLEO lililopita kwenye kitabu cha Pep Confidential, tuliona jinsi Mwandishi Marti Perarnau alivyolichambua tukio la Kocha Pep Guardiola kudharau mechi za Bundesliga na lawama alizokuwa...
Kiwango kilipanda, Ronaldo akaenda Ureno na Messi akatua Hispania KATIKA toleo lililopita mwandishi, Luca Caioli alituonyesha safari ya Messi ilivyokuwa kabla ya kumgeukia Ronaldo na kuchambua matukio ya mwanzo mwanzo ya soka la ushindani. Sasa endelea…
Ronaldo kwa mademu balaa, Messi na Antonella wametulia tu TOLEO lililopita, Mwandishi, Luca Caioli aliyachambua mambo yanayowapendeza Ronaldo na Messi nje ya soka huku akimtaja Ronaldo kupenda mchezo wa tenisi, pamoja na kuizungumzia familia ya...
Messi aitwa baba, Ronaldo yeye na mademu damudamu KATIKA toleo, mwandishi Luca Caioli alizichambua tabia za Ronaldo anayezungumzwa ni mpenda mademu tofauti huku Messi akihusishwa na mwanamke mmoja tu wa tangu utotoni. Sasa endelea…
Cristiano Ronaldo akumbuka alipolia fainali za Euro 2004 KATIKA toleo lililopita, mwandishi, Luca Caioli alielezea namna ambavyo Cristiano Ronaldo alishindwa kujizuia kulia mbele ya mtoto wake na familia yake wakati akikabidhiwa tuzo ya Ballon d’Or.
Sarri bado mechi moja tu afukuzwe kazi NI kama kitabu kilichoandikwa na mwandishi wa zamani wa Tanzania, Hammie Rajab ‘Roho Mkononi’. Kocha wa Chelsea, Maurizio Sarri ni kama vile anatembea na roho yake mkononi. Amebakiza...