I’M SORRY: Pep awaomba msamaha wachezaji wake baada kipigo cha Real Madrid KATIKA toleo lililopita kwenye kitabu cha Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau alizungumzia mfumo ambao Bayern ingeutumia kuivaa Real Madrid katika mechi ya Ligi ya Mabingwa wakati huo...
Bocco, Kagere wamaliza utata wamehusika kutengeneza jumla ya mabao 81, Bocco ambaye ndiye kinara wa mabao kwa sasa katika ligi ya msimu huu akifunga 32 na Kagere aliyesajiliwa kutoka Gor Mahia ya Kenya akiwa na 49. Kwa msimu...
Kifo cha Houllier chatikisa familia ya michezo kama kocha mwema aliyewahi kutokea ambaye mara zote ‘huwapa kipaumbele wengine kwanza’. Shabiki huyo mkubwa wa Anfield, Houllier alishawahi kuumwa ghafla akiwa anaisimamia timu hiyo dhidi ya...
Sababu ya Ronaldo kurudi EPL hii hapa anayefuatia kwa mshahara mkubwa kwenye kikosi hicho, Paulo Dybala. Mkataba wa sasa wa Ronaldo utakwisha 2022. Na kuna taarifa zinadai kwamba Ronaldo anataka kurudi Man United kwa ajili ya Lionel...
Guardiola awatia nguvu Bayern kuichapa Madrid TOLEO lililopita kwenye Kitabu cha Pep Confidential, Mwandishi Marti Perarnau alizungumzia maandalizi ya Bayern Munich kuumana na Real Madrid yalivyopamba moto huyu Kocha Pep Guardiola akiwa...
NINACHOKIAMINI: Evra akitaka kupiga mtu aje acheze Simba au Yanga Miongoni mwa mambo yanayokwamisha maendeleo nchini ni jinsi tunavyoshindwa kutofautisha kazi na urafiki.
Si kosa la Singano bali wanaomwita Messi WAKATI Ligi Kuu Bara ilipokuwa inakaribia kuanza niliulizwa na mwandishi wa habari wa magazeti ya Mwananchi na Mwanaspoti, Oliver Albert akitaka kujua timu gani zinaweza kufanya vizuri...
Tinoco: Bebi kanipenda na kimkulima changu hiki! KAMA ilivyo kawaida ya ukurasa huu ni kukuletea simulizi za maisha ya wanasoka nje ya uwanja. Leo utafahamu zaidi mlinda mlango wa Yanga, Benedict Tinoco, anavyoishi.
Guardiola aukubali unyama wa Ribery TOLEO lililopita kwenye Kitabu cha Pep Confidential, Mwandishi Marti Perarnau alielezea tukio lililoshangaza wengi kwa Kocha Pep Guardiola kujumuika kucheza akifurahia mafanikio ya timu...
Makocha wasaka mbinu kumdhibiti Pep Guardiola KATIKA toleo lililopita kwenye kitabu cha Pep Confidential, Mwandishi Marti Perarnau katika mazungumzo yake na Kocha Pep Guardiola, kocha huyo aligusia kipindi kigumu cha kuhamasisha...