Trent ni majanga baada majanga BEKI wa kulia, Trent Alexander-Arnold atakuwa nje ya uwanja kwa muda usiopungua miezi miwili baada ya kuumia mguu wakati wa mchezo wa Real Madrid ilipoichapa Athletic Bilbao mabao 3-0.
Uamuzi wa VAR wamkera Ferdinand, 'akomalia' bao la Konate MBEYA City imeshamtambulisha Mecky Maxime kuwa kocha mkuu ili kuanza kazi ya kuirudishia makali timu hiyo, lakini ametua na wawili.
Semenyo apiga goti kubeba kimwana MSHAMBULIAJI Antoine Semenyo amekuwa akisakwa kwelikweli kuelekea dirisha lijalo la usajili kutokana na kile anachofanya huko Bournemouth, lakini kwa wanaomtaka nje ya uwanja hilo amelifunga...
Mexico yazindua teknolojia kali ya ulinzi World Cup WAKATI maandalizi ya fainali za Kombe la Dunia 2026 yakiendelea, Mexico imezindua mfumo wa kisasa wa ulinzi ya roboti la mbwa watakaotumika kuhakikisha usalama wakati wa mashindano hayo.
Bao la Khoukhi dakika za mwisho laiokoa Qatar Kombe la Dunia Qatar imeukataa unyonge baada ya kugomea kipigo mbele ya Uswisi, ikisawazisha dakika za jioni mchezo ukimalizika kwa sare ya bao 1-1.
Sare zaivusha Cape Verde 32 bora Cape Verde imefanikiwa kutinga hatua ya 32 bora katika Fainali za Kombe la Dunia 2026 kwa aina yake baada ya kumaliza mechi tatu za makundi bila ushindi ikiambulia sare zote.
Wakala wa Lewandowski atua Italia BAADA kutangazwa kuwa ataachana na Barcelona mwisho wa msimu, wakala wa staa wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski, 37, ameripotiwa kufunga safari hadi Italia kukutana na wawakilishi wa...
PSG yatwaa ubingwa wa tano ‘back to back’ Ligue 1 Paris Saint-Germain imefanikiwa kutwaa ubingwa wa tano mfululizo wa Ligi Kuu ya Ufaransa, Ligue 1 baada ya kuichapa Lens mabao 2-0.
Polisi yathibitisha MC Pilipili amekufa kwa kipigo Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini...
Burna Boy ashtuka, afuta shoo Marekani NYOTA wa muziki wa Afrobeats kutoka Nigeria, Burna Boy, anaripotiwa kufuta maonyesho yake matano yajayo katika ziara inayoendelea ya No Sign of Weakness (NSOW) huko Marekani na chanzo cha kufutwa...