Simba tupeni raha AFE beki au kipa, ndicho wanachotakiwa kukifanya Simba ili kujihakikishia safari ya kuendelea kucheza michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Wakimbiaji 200 waandhimisha wiki ya usafiri wa Anga Duniani Lengo la mbio hizo ilikuwa ni kuweka miili sawa na hasa ikizingatia maambukizi ya Covid yamewagusa na wao katika kuelekea kilele cha wiki ya usafiri wa Anga Duniani.
NOMA: Hawa jamaa walitushika YAPO mengi ya kuyazungumza kwa mwaka huu wa 2021, lakini kwa leo makala hii inakuletea baadhi ya usajili wa makocha na wachezaji waliotikisa Tanzania Bara kwenye michuano mbalimbali.
ZEKICK: Kali za TFF 2021 SIKU 365 za mwaka 2021 zinaelekea ukingoni kabla ya kuanza mwaka mpya wa 2022.
Karia aweka sawa udhamini GSM RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ametoa kauli juu ya udhamini wa GSM baada ya wadau wengi wa soka kuzungumza mengi juu ya mkataba huo.
Marefa wetu waandaliwe kutumia VAR, teknolojia ya goli WAKATI hoja ya matumizi ya teknolojia maalum ya kusaidia waamuzi wa soka (VAR) ilipoibuliwa na Waingereza baada ya timu ya taifa ya England kukataliwa bao katika mchezo wa Kombe la Dunia 2010...
Tanzania yapania Kombe la Dunia WACHEZAJI wa timu ya taifa ya soka kwa watu wenyewe ulemavu ‘Tembo Warriors’ wamepania makubwa kwenye fainali za Kombe la Dunia kwa soka la walemavu Oktoba mwakani, nchini Uturuki 2022.
Pablo: Ni Ajibu na Mkude KOCHA wa Simba, Pablo Franco amesema kikosi chake kina mastaa wengi wenye uwezo lakini amevutiwa zaidi na juhudi za Ibrahim Ajibu na Jonas Mkude.
Siku 9 za kimkakati Yanga, Simba wabeza Yanga imeanza kambi ya siku 9 za kimkakati jana kujiandaa na mechi ya dabi, huku watani zao Simba wakikebehi. Simba na Yanga zitakutana kwa mara ya kwanza msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania bara...
Kagere: Tutaona! MSHAMBULIAJI wa Simba Meddie Kagere amesema michezo miwili mikubwa ijayo ya timu hiyo wanaichukulia kama fainali na watapambana mpaka tone la mwisho uwanjani dhidi ya Red Arrows na Yanga.