Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

24637 results for tanzania :

  1. Simba, TFF ngoma nzito ishu ya GSM

    KLABU ya Simba imeendelea kushikilia msimamo wake wa kutotumia nembo ya mdhamini mweza wa Ligi Kuu Bara kampuni ya GSM Tanzania Limited.

  2. Wawa? Simba msithubutu!

    KIKOSI cha Simba jana kilitua salama jijini Mwanza na fasta kutimkia Bukoba kwa ajili ya mechi yao ya Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar, lakini kukiwa na tetesi la kupitishwa panga kwa baadhi ya...

  3. Sababu za Barbara kukasirika ni hizi

    JUMAMOSI iliyopita ilikuwa siku ya mechi ya watani katika Ligi Kuu Bara maarufu kama Kariakoo Derby iliyozikutanisha Simba na Yanga. Timu hizi zilitoka suluhu hali inayofanya mtaani kuwe shwari.

  4. Pablo kufyeka watatu Simba

    KIKOSI cha Simba hapo jana kiliwasili salama Bukoba Mkoani Kagera kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, huku Kocha Mkuu, Pablo Franco akinoa panga kabla ya kufyeka vichwa...

  5. Alikiba, Hamonize habari mpya mjini

    PICHA ya pamoja waliopiga wasanii wa Bongo Fleva, Rajab Kahali ‘Harmonize’ na Ally Saleh ‘Kiba’ katika mitandao imekuwa ndio habari mpya mjini.

  6. Yanga kufunga mwaka na mfumo mpya

    BAADA ya wanachama wa Yanga chini ya Mwenyekiti wao Mshindo Msola kupitisha mabadiliko ya Katiba Serikali imeungana nao kwa kuipitisha rasmi.

  7. Hali sio shwari kwa Yanga kuwakosa Mayele, Kibwana...

    WAKATI mashabiki wa Yanga wakifurahia kurudi kwa Heritier Makambo klabu hiyo imetoa taarifa ambayo sio nzuri sana kwa mashabiki wao.

  8. Nyota Tembo Warriors kutimkia Uturuki

    Nyota wa timu ya taifa ya soka la walemavu 'Tembo Warriors', Frank Ngairo amepata nafasi ya kwenda kufanya majaribio nchini Uturuku katika moja ya klabu kubwa inayoshiriki ligi kuu ya soka kwa...

  9. Hii ndio 'Firt Eleven' 2021

    MSIMU uliopita ulikuwa na ushindani mkubwa kwa wachezaji kuwania nafasi za kucheza ili kuzipambania timu zao kupata matokeo.

  10. Vigogo Simba wavamia TFF watua na faili zito

    MAMBO yanaonekana kuwa magumu upande wa viongozi wa Simba baada ya jana mabosi wa klabu hiyo kutinga kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kufanya kikao cha saa 2 ili kumaliza...

Previous

Page 872 of 2464

Next