Bongo tunakwama hapa kupeleka filamu Netflix Muongozaji wa filamu ya ‘Binti’ itakayokuwa inapatikana kwenye mtandao wa Netflix, Seko Shamte, ameeleza sababu ya filamu za bongo kutoingia kwenye mtandao huo ikiwa ni pamoja na kukosa wasambazaji.
Rekodi tamu, chugu Bara MAISHA hayafanani. Huu ndio ukweli mchungu kuhusu muda wetu hapa duniani. Yaani unaambiwa wakati Yanga inaongoza kwa mabao mengi kwenye Ligi Kuu Bara kufikia sasa msimu huu, Kagera Sugar...
Muvi la usajili wa Phiri, Hersi atumia saa 19 tu MASHABIKI wa Simba, bado hawaamini kama ni kweli mabosi wa timu hiyo wamepigwa bao na wenzao wa Yanga kwenye usajili wa mshambuliaji Mzambia, Moses Phiri.
Mbunge Ludewa atoa Sh1 milioni kwa Ngairo. Tanzania (TAFF) anasema kuwa licha ya kuwa mchezaji huyo anatokea Jimboni kwake bado yeye ni mdau mkubwa wa michezo nchini. "Ngairo anakwenda kua mfano wa kuingwa miongoni mwa vijana...
Medo, Lusajo wang'ara tuzo za Ligi Kuu Bara kuwa ni mchezaji wa nne msimu huu akitanguliwa na Jeremiah Juma wa Tanzania Prisons (Novemba), Feisal Salum wa Yanga (Oktoba), na Vitalis Mayanga wa Polisi Tanzania kwa mwezi Septemba.
Mayanga rasmi Mtibwa Sugar, kutangazwa muda wowote Baada ya tetesi nyingi hatimaye Mtibwa Sugar wamethibitisha kukamilisha mazungumzo na Kocha wake wa zamani, Salum Mayanga na leo Alhamisi huenda akatangazwa rasmi na kuanza kibarua chake. Mayanga...
Huyu Pablo noma Simba ikiwa ni wastani wa mawili kwa kila mchezo wakati kabla yake ilifunga sita katika mechi nane ambayo ni wastani wa bao 0.75 kwa mechi. Ndani ya kipindi hicho ni mechi tatu ambazo Simba...
Kocha: Mayele atawavuruga mmoja pekee, Mayele akipenya kwa kuwa na idadi ya mabao matano na kufanya vita kuwa ngumu katika kuwania tuzo ya mfungaji bora. Wachezaji hao ni Jeremiah Juma (Tanzania Prisons) ambaye pia...
Makata ni sawa na makocha saba Simba, Yanga HUENDA Mbwana Makata akawa Kocha pekee ambaye amedumu kwa muda mrefu katika kikosi cha Dodoma Jiji kuliko makocha wote hapa nchini tangu alipoipandisha Ligi Kuu msimu uliopita.
Pablo apata dawa mpya Simba KIKOSI kamili cha Simba kinatarajiwa kusepa jijini Dar es Salaam leo kwenda Zanzibar kwa ajili ya kuwasha moto kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi 2022, huku kocha mkuu wake, Pablo Franco...