Usajili wa Phiri...Zanaco yavunja ukimya yakiri Yanga imewahi DIRISHA dogo la usajili nchini, umesaliwa na siku tano kabla ya kufungwa Jumamosi hii, klabu ya Zanaco ya Zambia imevunja ukimya na kutoa kauli juu ya hatma ya mshambuliaji wao Moses Phiri...
Yanga, Azam, Simba, Namungo tukutane palepale, muda uleule! makundi. Timu hizo zote za Tanzania Bara zilishakutana kwenye mechi zao za duru la kwanza la Ligi Kuu, Yanga ikiitambia Azam kwa mabao 2-0, huku Simba ikiinyoa Namungo kwa bao 1-0...
Kisubi kuziba pengo la Mshery BAADA ya tetesi nyingi hatimaye Mtibwa Sugar wamethibitisha kukamilisha mazungumzo na Simba kwaajili ya kunasa saini ya Jeremiah Kisubi ambaye ametolewa kwa mkopo na timu hiyo. Kisubi alijiunga na...
Mabingwa Mtambile Jimbo Cup wajazwa noti . Akizungumza wakati wa ufungaji wa mashindano hayo, Seif alisema kuwa mbali ya kuendeleza mpira wa miguu, mashindano hayo pia yana lengo la kudumisha umoja na kutafuta wachezaji wa kuunda timu ya...
GOR MAHIA NI KUBAYA JOH, WACHEZAJI KUHEPA kwa sababu alipatikana na Corona hivyo atalazimika kukaa kwenye karantini kwa siku kadhaa. Hali sawia na hii ilikuta Gor msimu uliopita walioishia kupoteza wachezaji kadhaa katikati ya msimu...
Nabi ashtukia mtego wa Bara imekuwa ikipata wakati mgumu kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga licha ya kuinyanyasa timu hiyo inapokuwa Dar es Salaam. Msimu uliopita Yanga ilianza vyema na ilikuwa ikilinda rekodi ya...
Simba ina sapraizi yenu, Barbara afunguka kuhakikisha wanarudi kwenye ligi wakiwa na moto, lakini wakitimiza pia malengo yao kwa msimu huu katika michuano ya kimataifa. Simba ni wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye hatua ya makundi...
Hii Yanga jeuri sana! YANGA hadi sasa imekamilisha usajili wa vifaa vitano katika usajili wa dirisha dogo ikilenga kukiongezea makali zaidi kikosi chake kinachoongoza msimamo wa ligi kikiwa na pointi 29.
Mashabiki wasusia Derby LICHA ya Mechi kuhamishiwa uwanja wa taifa na viingilio kutolewa, bado mashabiki hawajajitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara kati ya Simba Queens na...
Shiboub, Mnigeria washtua Msimbazi MABOSI wa Simba mchana wa jana walitarajiwa kumpokea mshambuliaji mwingine nyota wa kigeni kutoka Nigeria, lakini waliopo kambini kwa sasa akiwamo Etoph Udoh, Shiboub Sharifeldin, wameshtua...