Acheni waje! Pablo amaliza kazi KWA namna yoyote ile kuna watu hawatakuwa na mudi ya kuangalia nusu fainali ya Liverpool na Arsenal usiku wa leo.
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Fiston Mayele bidhaa adimu isiyopatikana sokoni MARA ya mwisho Yanga kuwa na safu ya uhakika ya ushambuliaji ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Ni kipindi kile ambacho Mrundi Amiss Tambwe alikuwa anaongoza mstari wa ushambuliaji, huku pembeni...
HISIA ZANGU: Ilinishangaza Simba walipomsaini Jeremiah Kisubi MASHABIKI wa Simba wamewahi kumuona Kipa Jeremiah Kisubi katika lango? Hapana. Binafsi sijawahi kumuona akidaka. Mara ya mwisho nilimuona akichezea Prisons. Nikasikia amesajiliwa Simba. sasa hivi...
Utatu tishio Ligi kuu bara RAHA ya mechi ni bao asikwambie mtu. Yaani yale mambo ya soka safi, pira biriani, ufundi na burudani nyinginezo wakati wa mchezo zote ni mbwembwe tu, mwisho wa picha mashabiki wataka kuona mpira...
FRESHI! Walipotezwa wakaitwa tena MAKOCHA wamekuwa wakitimuliwa kila wakati kutokana na presha kubwa ya kupata matokeo, lakini kuna usemi usemao makocha wanaajiriwa ili kutimuliwa.
Kuna usajili wa kisasi Yanga MWENYEKITI wa zamani wa Yanga, Imani Madega amefunguka kwa mara ya kwanza kwamba kuna usajili wa kisasi aliufanya wakati akiwa madarakani ili kuwakomoa Simba mwaka 2009.
Simba yabadili ratiba Ligi Kuu BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko machache kwenye ratiba ya Ligi Na ya NBC yakiathiri tarehe za michezo 12, muda wa kuanza kwa michezo sita na kuipangia tarehe michezo...
JICHO LA MWEWE: Ni ngumu wachezaji wa majaribio kutoboa Tanzania MIONGONI mwa vitu vigumu katika soka la hapa duniani ni pale mchezaji anapoamua kufunga safari kwenda katika nchi inayoitwa Tanzania, kufanya majaribio katika klabu kubwa mbili. Simba na Yanga.
Mbongo ahusishwa kutua Barcelona NYOTA mwenye asili ya Tanzania, Akram Afif ametajwa kuwa kwenye orodha ya wachezaji ambao kocha wa Barcelona, Xavier Hernandez amepanga kuwasajili mwishoni mwa msimu wakati wa kiangazi kwa...
Enekia awania ufungaji bora Ligi Kuu Morocco KAMA utani vile, mchezaji wa kike wa Tanzania, Enekia Lunyamila anayeichezea Ausfaz amekuwa miongoni mwa washambuliaji wanaowania kiatu cha ufungaji bora kwenye Ligi Kuu ya wanawake huko...