Mukoko atakata Yanga ikiiua Mbuni alisema wameamua kuwatumia wachezaji wengi ambao hawakupata nafasi katika mchezo uliopita dhidi ya Coastal Union yote ikiwa ni katika kuwapa nafasi wachezaji wote lakini pia ikiwa ni maandalizi...
MZEE WA UPUPU: Kigonya, alijitambulisha na kujishusha kupitia Simba FEBRUARI7, 2021, kipa mpya wa Azam FC aliyesajiliwa kupitia dirisha dogo kutoka Forest Rangers ya Ndola nchini Zambia, Mathias Kigonya alicheza mechi yake ya kwanza katika Ligi Kuu Tanzania...
HISIA ZANGU: Kwanini mastaa wetu wanaondoka na kurudi mapema? KWANINI mastaa wakubwa wa Ligi yetu huwa wanaondoka na kisha kurudi nchini kwa moyo mkunjufu. Wawe wa kigeni au wazawa, huwa wanaondoka kwa mvumo mkubwa kisha wanarudi baada ya miezi kadhaa tu.
Ishu ya Mukoko iko hivi kujenga na kuongeza nguvu katika eneo la makipa,” alisema Senzo. Hata hivyo, taarifa nyingine za chinichini zinadaiwa Siwa anaweza kuondoka pindi Milton akishazoea mazingira kwenye timu hiyo...
Mechi 7 za ubingwa Yanga hizi hapa ambazo bila shaka hata washindani wao wakuu Simba wanazitazama kama fursa kwao ama kuifikia au kuipiku Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi. Mechi hizo saba ni dhidi ya Polisi Tanzania...
Pablo awatuliza Msimbazi, Bocco atoa neno Ligi Kuu akisema staa huyo na wengine watarejea katika makali yao na timu itatisha kama ambavyo imekuwa ikitawala soka la Tanzania. Bocco ana historia ya kutisha nchini, akifunga mabao 139...
Mukoko aigomea Yanga, GSM aingilia kati DILI la kiungo na nahodha msaidizi wa Yanga, Mukoko Tonombe kwenda TP Mazembe ya DR Congo, limekufa baada ya nyota huyo kugoma kutolewa kwa mkopo katika klabu hiyo, huku bilionea wa klabu hiyo...
Mbeya City, Simba ni visasi, ubora Simba inashuka kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, kuikabili Mbeya City, huku ikijivunia rekodi nzuri za msimu uliopita dhidi ya wapinzani wao.
Chama: Watoto wamenirudisha Msimbazi “WANANGU ni moja ya sababu iliyonirudisha kucheza soka la kulipwa Tanzania.” Hiyo ni kauli ya kiungo fundi wa mpira, Clatous Chama aliyerejea Simba, baada ya kutowekwa kwa siku zisizopungua...
Yanga yaiteka Mkwakwani Ukifika sasa Uwanja wa Mkwakwani kama wewe ni shabiki wa wenyeji Coastal Union unaweza kuingia ubaridi kutokana na kufurika kwa mashabiki wa wageni wao Yanga.