Leipzig yaipa Arsenal bei kwa Sesko ARSENAL na Red Bull Leipzig wamefanya mazungumzo ya awali kuhusu uwezekano wa uhamisho wa mshambuliaji wa timu hiyo, Benjamin Sesko.
Emiliano atoa msimamo ishu ya Man United KIPA wa Aston Villa, Emiliano Martinez amevunja ukimya kuhusu hatima yake huku tetesi za kujiunga na Manchester United zikishika kasi.
Pogba? Subirini kidogo STAA wa zamani wa Juventus, Paul Pogba amezungumza kuhusu wapi anaweza kutua katika dirisha lijalo akisisitiza kwamba hadi sasa mambo bado.
Tomiyasu achana mkataba Arsenal BEKI wa Arsenal, Takehiro Tomiyasu anaachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya kusitisha mkataba wake.
Jux: Sijafilisika bado nadunda MWIMBAJI wa Bongo Fleva, Jux amekanusha madai ya kufilisika hadi kufunga duka lake la African Boy baada ya kufanya sherehe ya kifahari ya harusi yake mkewe Priscilla Ajoke Ojo.
Kweli Gyokeres anaitaka Arsenal ARSENAL ipo kwenye hatua za mwisho kabisa za kukamilisha usajili wao wa pili dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi baada ya chama hilo linalonolewa na Mhispaniola Mikel Arteta kuwa...
Bacary Sagna afunguka uchungu wa kufiwa BACARY Sagna amefunguka ya moyoni akidai anafahamu maumivu wanayopata wanasoka wanapopoteza wapendwa wao.
Kinda Lewis-Skelly mwanzo mzuri KINDA wa Arsenal, Myles Lewis-Skelly ameweka rekodi ya kucheza mechi yake ya kwanza kwenye timu ya taifa ya England na kisha kufunga bao katika mechi hiyo ya kimashindano.
Ishu ya Rashford kaishika Amorim LISEMWALO ni Marcus Rashford hatakuwa na maisha yoyote kwenye kikosi cha Manchester United endapo kama Kocha Ruben Amorim ataendelea kubaki kwenye kikosi hicho cha Old Trafford.
Refa wa EPL analipwa Sh800m kwa mwaka MSHAHARA wa waamuzi wa Ligi Kuu England umewekwa hadharani na kuonyesha kwamba ni moja ya watu wanaolipwa vizuri kwenye nchi ya England.