Curry amshawishi LeBron kujiunga Warriors WAKATI Fainali za NBA zikiendelea kushika kasi, macho mengi tayari yameanza kuelekezwa kwenye kipindi cha usajili wa wachezaji huru,jina kubwa linalozungumziwa ni LeBron James.
Pele chanzo vita Messi, Ronaldo WAKATI nyota wa Brazil, Kaka alipotwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia wa FIFA mwaka 2007, kulikuwa na tukio la aibu lililotokea jukwaani ndilo lililokuja kusambaa sana mtandaoni na kutoa ishara...
Wanasoka na Tattoo kuna jambo WANASOKA na tattoo ni kama uji na mgonjwa. Wachezaji wengi wanaolipwa maelfu ya pauni kila wiki hupenda kutumia muda wao wa mapumziko kuchora tattoo mbalimbali miilini mwao.
Hukumu ya Perez, Riquelme ni leo KWA MARA ya kwanza katika kipindi cha miaka 20, utawala wa Florentino Perez ndani ya Real Madrid utakabiliwa na changamoto kupitia sanduku la kura.
Scaloni: Sina uamuzi wa mwisho, kila kitu Messi TIMU ya taifa ya Argentina inajiandaa kutetea taji lake la mabingwa wa dunia zikiwa zimebaki siku sita kabla ya Kombe la Dunia kuanza nchini Mexico, Marekani na Canada, huku wakiwa na matarajio...
Ukisikia wanacheza kamata rimoti yako Kombe la Dunia la FIFA 2026 litakuwa na timu 48 na zaidi ya wachezaji 1,200. Ni kina nani wachezaji unaopaswa kuwaangalia katika Kombe la Dunia 2026? Hawa hapa mastaa 15 ambao unasubiri kuwaona...
Kane atajwa tuzo Ballon d’Or Kazi ya mwisho ya mshambuliaji Harry Kane katika msimu bora zaidi wa maisha yake ya soka ni kuingoza timu ya taifa ya England kwenye Kombe la Dunia iwapo atafanikiwa kutwaa taji hilo hakuna shaka...
Bilionea wa Qatar aipotezea Man United KUNDI la wawekezaji kutoka Qatar ambalo hapo awali lilishindwa kuinunua klabu ya Manchester United halijawasiliana maombi mengine kuhusu uwezekano wa kuinunua klabu hiyo, licha ya ripoti...
Hatimaye Iran wapewa viza kuingia Marekani WACHEZAJI na viongozi wa Timu ya taifa ya Iran imepewa viza ya kuingia Marekani siku chache kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia wiki ijayo, maafisa wa Marekani wamethibitisha.
Bendera kubwa, maonesho ya fataki nyimbo FIFA imezindua kile ilichokieleza kuwa ni utaratibu mpya wa kipekee na wa kuvutia zaidi wa sherehe za kabla ya kuanza kwa mechi yote ya Kombe la Dunia la 2026.