Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8637 results for Mwandishi :

  1. Raphinha afunguka kuhusu Xavi

    STAA wa Kibrazili, Raphinha amesema hakuwahi kuaminiwa na Kocha Xavi wakati alipokuwa akiinoa Barcelona - jambo lililomfanya apate shida sana Nou Camp.

  2. Ten Hag kupewa mikoba ya Alonso

    ERIK ten Hag amepiga hatua kubwa kwenye mazungumzo ya kurithi mikoba ya Xabi Alonso katika kikosi cha Bayer Leverkusen, imeripotiwa.

    TEN Pict
  3. Waarabu warudi kwa Vinicius Jr

    INAELEZWA matajiri wa Saudi Arabia wamerudi mezani kuzungumza na wawakilishi wa Vinicius Jr ili kumsajili dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwa lengo la kuongeza ushawishi zaidi katika ligi yao.

    SALAH
  4. Rio Ferdinand: Amorim kazi anayo

    RIO Ferdinand anaamini msimu wa hovyo wa Manchester United utawapa shida kwenye vita ya kusaka wachezaji wapya wa maana wa kuwasajili baada ya kichapo kutoka kwa Tottenham kwenye fainali ya...

    RIO Pict
  5. Arne Slot kupewa dili jipya Anfield

    MABOSI wa Liverpool wameripotiwa kuwa na mpango wa kumpa dili jipya kocha Arne Slot baada ya Mdachi huyo kufunguka kwamba anataka abaki kwenye timu hiyo muda mrefu kama Jurgen Klopp.

  6. Arsenal kupigwa za uso kwa Kimmich

    ARSENAL ipo kwenye hatari ya kuangukia pua kwenye mpango wa kumsajili kiungo wa Bayern Munich, Joshua Kimmich kwenye dirisha lijalo la majira ya kiangazi baada ya Mjerumani huyo kufikiria kusaini...

    Arsenal Pict
  7. Gyokeres ni Arsenal sio Man United

    STRAIKA wa mabao wa kikosi cha Sporting CP, Viktor Gyokeres yupo tayari kutua kwenye Ligi Kuu England wakati wa dirisha lijalo la usajili ili kwenda kukipiga katika ligi hiyo msimu ujao.

  8. NYEPESI NYEPESI ZA DABI: Ndugu wa damu walikaushiana dk 90

    DABI ya Kariakoo ina utamu wake, ikiwamo baadhi ya wanandugu kuweka historia ya kucheza mechi hizo za Watani wa Jadi. Ndio ipo orodha ya wanandugu waliokipiga dabi lakini kila mmoja na wakati...

    NDUGU Pict
  9. Mashabiki wamshangaza Amorim

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim ameshangazwa na maneno anayoambiwa na mashabiki wa Manchester United wanayomwambia kila wanapokutana naye.

    MASHABIKI Pict
  10. Keane, Neville, Carragher waonywa kuhusu City

    SKY Sports imeonya wachambuzi wake jinsi inavyochambua kwa mbwembwe bila ya kufuata weledi juu ya sakata la mashtaka 115 yanayoikabili Manchester City juu ya madai ya udanganyifu kwenye matumizi.

Previous

Page 79 of 864

Next