Tchouameni aingia anga za Man United MANCHESTER United inataka kufanya kila linalowezekana kuhakikisha inamsajili kiungo wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa, Aurelien Tchouameni, 26.
Mnigeria apanga kujiondoa Wolverhampton Wanderers NYOTA wa kimataifa wa Nigeria, Tolu Arokodare anatarajia kuondoka Wolverhampton Wanderers dirisha lijalo la usajili kufuatia ugomvi uliotokea ndani ya chumba cha kubadilishia nguo.
Chelsea kumweka sokoni Garnacho, sababu yatajwa CHELSEA wapo tayari kumuuza winga Alejandro Garnacho msimu huu wa majira ya joto, kwa mujibu wa talkSPORT, ambapo uongozi wa klabu umetambua kuwa usajili wake wa Pauni 40 milioni haujaenda kama...
Simba, Yanga kuchuana vikali Mei 9, The Super Dome TUZO za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ambazo hutolewa ili kutambua mchango wa wanamichezo bora nchini, zimepangwa kutolewa Mei 9, 2026 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki uliopo jijini Dar...
Mr P aibua maswali baada ya kubadili tarehe ya kuzaliwa Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Peter Okoye maarufu kama Mr P, ametangaza rasmi kubadilisha tarehe yake ya kuzaliwa kutoka Novemba 18 kwenda Novemba 30, bila kutoa sababu za uamuzi huo.
Wolves yashuka daraja, kucheza Championship msimu ujao Suluhu ya bila kufungana kati ya Crystal Palace dhidi ya West Ham kumeifanya timu ya Wolves kushukuka daraja, itacheza Championship msimu ujao 2026/27.
PANGA: Kikosi cha Real Madrid kufanyiwa mabadiliko BAADA ya kuondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Bayern Munich wiki iliyopita, tathmini ya ndani ya kikosi hicho imeshaanza kuelekea mwisho wa msimu ambao huenda ikaumaliza bila...
Simbu atetea nafasi ya pili Boston Marathon Mwanariadha nyota wa Tanzania, Alphonce Simbu amepeperusha vyema bendera ya nchi baada ya kumaliza katika nafasi ya pili kwenye Mbio za Boston Marathon ambazo zimefanyika leo huko Boston Marekani.
Everton yamkingia kifua Slot Liverpol USHINDI wa Liverpool wa mabao 2-1 dhidi ya Everton ugenini katika Ligi Kuu England unaelezwa umewagawa viongozi na maofisa wa juu wa klabu kuhusu mustakabali wa Kocha Arne Slot kuwapo au kuondoka...
Mshkaji wa Messi ahusishwa kuondoka kwa kocha Kwa sasa, Guillermo Hoyos amechukua jukumu la kuinoa timu hiyo kwa muda wakati ikisaka ufumbuzi wa suala la benchi la ufundi. Hata hivyo Messi bado hajazungumzia suala hilo hadharani, licha ya...