Bayern kufanya pati ya ubingwa Jumapili MIAMBA ya soka la Ujerumani, Bayern Munich wataungana na mashabiki wao katika sherehe kubwa ya kutwaa ubingwa wa Bundesliga 2025/26 itakayofanyika Marienplatz, Jumapili, Mei 17, 2026
Bayern Munich yaiachia majanga Arsenal ARSENAL imepata pigo jingine katika safu yao ya ushambuliaji baada ya staa wao Leandro Trossard kulazimika kuondolewa uwanjani kutokana na jeraha wakati wa mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Ulaya...
Geremi Njitap ampa maua yake Cole Palmer akimfanisha na Lampard Kiungo wa zamani wa Chelsea, Geremi Njitap, amemlinganisha gwiji wa klabu hiyo, Frank Lampard na kinda anayetamba kwa sasa, Cole Palmer.
Arteta atumia AI kusaka taji la EPL KOCHA Mikel Arteta anaamini Akili Mnemba (AI) itaichagiza Arsenal katika mpango mkakati wa kushinda taji la Ligi Kuu England msimu huu.
Nagelsmann amkingia kifua Wirtz, aishutumu Liverpool KOCHA wa Ujerumani, Julian Nagelsmann amewashutumu wachezaji wa Liverpool wanapaswa kuboresha viwango vyao ili watumie vyema nafasi za mashambulizi zinazotengenezwa na kiungo wake, Florian Wirtz.
34 zatangulia Kombe la Dunia 2026 Nchi 34 zimejihakikishia kushiriki fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazounguruma nchini Mexico, Marekani na Canada, baada ya kukamilisha mchakato wa kufuzu.
Nyota Aston Villa alizwa mimba kutoka NYOTA wa timu ya taifa la England, Bo Kearns kwa upande wa wanawake, amefichua kupoteza mtoto, ikiwa ni wiki chache baada ya kutangaza mjazito.
Simba yavuna pointi tatu, yaibanjua Coastal Union Simba imefanikiwa kusogea hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na uahindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union.
Bayern Munich yafukuzia rekodi Bundesliga MABINGWA watarajiwa Bayern Munich inaendelea kuwasha moto kwenye Bundesliga ikisaka kuweka rekodi mpya ya mabao msimu huu.
De Zerbi: Nipo tayari kushuka na Spurs KOCHA mpya wa Tottenham Hotspur, Roberto De Zerbi amesema yuko tayari kubaki na klabu hiyo msimu ujao hata kama itashuka daraja mwishoni mwa msimu huu.