Mambo manne, Simba, Yanga kufuzu nusu fainali OFISA habari wa Bodi ya Ligi Kuu Bara, Karim Boimanda, ametaja mambo manne ambayo anaamini yataziwezesha Simba na Yanga kufuzu hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Karim...
Ndumbaro: Mashabiki wanaopokea wageni kushughulikiwa WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutanma na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo...
Dube: Mokwena anaiogopa Yanga MWANDISHI wa habari kutoka Afrika ya Kusini, Dube Mthoko amesema Kocha wa Mamelodi Sundowns, Rhulani Mokwena Hloae anaiogopa Yanga kuelekea mchezo wao wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
Arafat: Simba, Yanga ziache kusaidia wageni MAKAMU wa rais wa Yanga, Arafat Haji amesema Simba na Yanga zina nafasi ya kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ikiwa zinatajipanga vizuri na kutumia zaidi uwanja wa nyumbani na mashabiki...
Kocha Mamelodi kujichimbia ili kuitazama Yanga BAADA ya kuwafahamu wapinzani wao, kocha wa Mamelodi Sundowns, Rhulani Mokwena amesema anakwenda kujichimbia kuitazama zaidi Yanga kiufundi wakati wa mapumziko ya kalenda ya mechi za...
Tyson alivyolaaniwa na kubarikiwa LAS VEGAS, MAREKANI. Ni kweli nimefilisika, lakini nina maisha mazuri, nina mke mzuri ambaye ananijali, sina kitu kwa sasa lakini huko nyuma nilifanya starehe sana, kufilisika kumetokea tu, nina...
Gamondi wala hawahofii Mamelodi DROO ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa leo jioni na miamba ya soka nchini, Yanga na Simba zikifahamu wapinzani watakaokutana nao kwenye hatua hiyo. Yanga imepangwa kukutana na...
Yanga: Hatuwaogopi Mamelodi MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Andrew Mtine amesema hawaiogopi Mamelod Sundowns waliyopangwa nayo kwenye hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku akitaja mambo matatu. Mtine ameyataja...
Simba iliitamani Petro, Ahly freshi BAADA ya droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufanyika na Simba kupangwa na Al Ahly kwenye mchezo wa robo fainali, mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Issa Masoud amesema kukutana na Ahly mara...
Simba, Asec hazichekani hapa IKIWA Ligi ya Mabingwa Afrika imefika hatua ya robo fainali, kama kawaida timu nane zimefuzu baadhi zikiwa zimeonyesha viwango bora kwenye hatua ya makundi zikishika nafasi ya kwanza. Hata...