Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8453 results for Mwandishi Wetu :

  1. Timu kuongezwa Kombe la Dunia la Klabu, EPL ikinufaika

    SHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) linatarajiwa kufanya mabadiliko makubwa zaidi katika historia ya Kombe la Dunia la Klabu baada ya kuanza mchakato wa kupanua mashindano hayo kutoka timu 32 hadi...

    FIFA Pict
  2. Siondoki! Bruno Fernandes amaliza utata Man United

    NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, ameripotiwa kufanya uamuzi wa mwisho kuhusu mustakabali wake kwa kuamua kubaki Old Trafford kwa angalau msimu mmoja zaidi licha ya kuendelea...

    BRUNO Pict
  3. Uholanzi yatinga 32 bora, Tunisia ikiaga kwa aibu

    Uholanzi imemaliza kibabe mechi za makundi ikipata ushindi mzuri wa mabao 3-1 dhidi ya Tunisia ambayo imeacha rekodi mbaya ikiaga fainali hizo za Kombe la Dunia 2026.

  4. Sare yaipeleka Japan 32 Bora Kombe la Dunia, kukutana na Brazil

    SARE ya bao 1-1, iliyoipata Japan dhidi ya Sweden leo imeihakikishia kufuzu hatua ya 32 bora, ya Kombe la Dunia, baada ya kumaliza nafasi ya pili katika kundi F, ikiwa na pointi tano na sasa...

  5. Mvua, radi zatishia mechi ya Uholanzi na Tunisia

    MECHI ya Kombe la Dunia 2026 inayozikutanisha Uholanzi na Tunisia, ilikuwa katika hatari ya kuahirishwa dakika chache kabla ya kuanza baada ya mamlaka za hali ya hewa kuonya kuhusu uwepo wa mvua...

  6. Ivory Coast yatinga 32 bora kibabe ikiichapa Curacao

    Mabao mawili ya mshambuliaji Nicolas Pepe yametosha kuihakikishia ushindi muhimu wa mabao 2-0 dhidi ya Curacao, ikifuzu hatua ya 32 bora kwenye Fainali za Kombe la Dunia.

  7. 'Hydration break' yazua mjadala Kombe la Dunia 2026

    FAINALI za Kombe la Dunia 2026 zimeendelea kushika kasi Amerika Kaskazini, lakini muda mapumziko ya kunywa maji (hydration break) umezua mjadala.

  8. Kocha Scotland akimbia mahojiano

    KOCHA wa Scotland, Steve Clarke, ameshindwa kuficha hasira zake baada ya timu yake kuchapwa mabao 3-0 na Brazil katika mchezo wa mwisho wa Kundi C wa Kombe la Dunia 2026, kiasi cha kuondoka...

  9. Ujauzito waiponza Lazio

    TIMU ya wanawake ya Lazio imeamriwa kulipa fidia kwa kiungo wake wa zamani Maja Gothberg baada ya kubainika kuwa ilisimamisha ajira yake kinyume cha sheria kutokana na ujauzito wake.

  10. Morocco yatinga 32 bora Kombe la Dunia, Haiti ikiaga

    USHINDI wa mabao 4-2 ilioupata timu ya taifa ya Morocco dhidi ya Haiti leo, umekifanya kikosi hicho kufuzu hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia, ikiwa ni taifa la kwanza kutinga hatua ya mtoano...

Previous

Page 65 of 846

Next