Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8448 results for Mwandishi Wetu :

  1. Dembele anavyoisaka tena Ballon d’Or kimyakimya

    JUZI, ulimwengu wa soka ulishuhudia shangwe la hat-trick ya Ousmane Dembele dhidi ya Norway ambayo inaonyesha kwa nini Ufaransa ni miongoni mwa wapinzani bora wa Kombe la Dunia 2026.

  2. Senegal walipigaje pale? Cheki namba zinavyoongea

    SENEGAL ni wa ajabu sana! Walibezwa mechi mbili za mwanzo ambazo waliambulia matokeo ya fedheha katika Kombe la Dunia 2026, baada ya kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Ufaransa kisha kunyukwa...

  3. Mo Salah azua hofu Kombe la Dunia

    Kocha Mkuu wa Misri, Hossam Hassan, amesema nahodha wa timu hiyo, Mohamed Salah atafanyiwa uchunguzi wa kiafya ili kubaini hali yake baada ya kuomba mwenyewe kutolewa katika mechi dhidi ya Iran...

  4. Ubelgiji yatinga 32 bora ikiongoza kundi G

    USHINDI wa mabao 5-1 ilioupata Ubelgiji kwenye mechi ya kundi G, umeifanya timu hiyo ifuzu hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia ikikusanya pointi tano na kukaa kileleni. Imeungana na Misri...

    UBELGIJI Pict
  5. Soka la kizamani limerudi Kombe la Dunia 2026?

    KUNA mengi yanaendelea katika fainali za Kombe la Dunia 2026 ambako kuna rekodi kibao zinavunjwa na zingine hazijavunja hadi sasa. Lakini, wakati nchi zilizofuzu mtoano wa hatua ya 32 bora...

    KUJIRUDIA Pict
  6. Sare zaivusha Cape Verde 32 bora 

    Cape Verde imefanikiwa kutinga hatua ya 32 bora katika Fainali za Kombe la Dunia 2026 kwa aina yake baada ya kumaliza mechi tatu za makundi bila ushindi ikiambulia sare zote.

    VERDE Pict
  7. Maswali mazito yenye majibu magumu

    HATUA ya makundi ya Kombe la Dunia ambalo ndilo kubwa zaidi kuwahi kufanyika inafikia tamati. Hata hivyo, bado kulikuwa na maswali mengi muhimu yaliyohitaji majibu katika mechi za mwisho za makundi.

    MASWALI Pict
  8. Hispania yaitupa nje Uruguay

    Hispania imefanikiwa kutinga hatua ya 32 bora kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Uruguay kwa bao 1-0 na kuitupa nje ya mashindano timu hiyo.

    SPAIN Pict
  9. Miamba iliyocheza mechi nyingi Kombe la Dunia

    WASHINGTON, MAREKANI: FAINALI za Kombe la Dunia 2026 zimefshachezwa mechi tatu kwa kila timu hadi sasa. Lakini, nyuma ya fainali hizo kuna mastaa waliocheza mechi nyingi hadi sasa katika...

    MIAMBA Pict
  10. Dembele aingia kwenye historia ya Kombe la Dunia kwa hat-trick ya mapema

    NYOTA wa Ufaransa, Ousmane Dembele, ameandika historia mpya usiku wa kuamkia leo, Jumamosi katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kufunga hat-trick ndani ya dakika 32 katika ushindi wa mabao 4-1...

    DEMBELE Pict
Previous

Page 63 of 845

Next