Pablo atimuliwa Simba, agomea barua VIKAO vya siku mbili ndani ya Simba vimeamua rasmi kuachana na kocha mkuu Pablo Franco kwa kile kilichodaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo.
KMC yatimkia Moro, wajiandaa kutambulisha mastaa wao KLABU ya KMC FC imeanza rasmi kambi kwa ajili ya kujiandaa vizuri na msimu mpya wa Ligi kuu soka Tanzania Bara 2021/2022 kwa kuamua kulihama jiji la Dar es Salaam na kwenda kujichimbia Morogoro.
Saido, Ambundo watimuliwa kambini Yanga SIKU mbili kabla ya mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Simba na Yanga, kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewatimua Saido Ntibazonkiza na Dickson Ambundo kambini...
Sheva awatega vigogo Geita VIONGOZI wa Geita Gold wako kwenye wakati mgumu baada ya mshambuliaji wao, Miraj Athuman ‘Sheva’ kugomea mazoezi kwa kile kinachodaiwa kutokamilishiwa fedha zake zote za usajili (signing fees)...
Lusajo, Mhilu kuiongoza Tanzania WACHEZAJI Reliants Lusajo na Yusuph Mhilu ni miongozi mwa wachezaji 11 waliochaguliwa na kocha mkuu wa timu hiyo Kim Poulsen katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Sudani Kusini, kwenye mchezo...
Simba vs Dodoma Jiji yabadilishiwa tena muda BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inawataarifu wadau wote wa Ligi Kuu ya NBC kuwa muda wa kuanza kwa michezo ya Ligi itakayochezwa Jumatatu Machi 7, 2022 imerejea kuwa kama ilivyoainishwa kwenye...
Paul wa P Square augua Corona Hali anayopitia Paul ambaye ni pacha mdogo iliwahi kumkumba kaka yake pia mwaka jana mwezi Juni ambapo yeye, familia yake (mke na mtoto) pamoja na wafanyakazi wake wawili wa ndani waligundulika...
Paul wa P Square augua Corona Hali anayopitia Paul ambaye ni pacha mdogo iliwahi kumkumba kaka yake pia mwaka jana mwezi Juni ambapo yeye, familia yake (mke na mtoto) pamoja na wafanyakazi wake wawili wa ndani waligundulika...
Saido arejea tena Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo ililiambia Mwanaspoti, Saido amekamilisha taratibu zote na viongozi wa timu hiyo na muda wowote kuanzia sasa atatua nchini.
Bashungwa aipa pole Simba, familia ya Hans Poppe Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ameguswa na kifo cha Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba Zakaria Hans Poppe na kutoa pole kwa klabu hiyo. Bashungwa kupitia...