Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8446 results for Mwandishi Wetu :

  1. Mayweather, Pacman mtasubiri sana!

    MCHAKATO wa kurejea ulingoni kwa Floyd Mayweather Jr unaendelea kukumbwa na changamoto, huku mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya promosheni ya Manny Pacquiao, Jas Marthur, akieleza sababu...

    NDONDI Pict
  2. Messi kubeba Ballon d’Or ya tisa?

    LIONEL Messi mshindi mara nane wa tuzo ya mchezaji bora Ulaya (Ballon d’Or), lakini wakati michuano ya Kombe la Dunia 2026 ikiendelea, swali kubwa linalozungumzwa na mashabiki wa soka duniani ni...

  3. Mbinu bora za kupiga penalti Kombe la Dunia

    UTUKUFU wa Kombe la Dunia unaweza kuamuliwa kwa mikwaju ya penalti, kwani kadiri hatua za mtoano zilivyoanza, mikwaju hiyo huwa haiwezi kuepukika.

  4. Mbappe, Vini JR, Jude mtego wa Jose Mourinho

    REAL Madrid walimaliza msimu vibaya, bila kutwaa taji lolote na wakiwa mbali na matarajio yaliyowekwa kwa kikosi kilichotarajiwa kutawala soka la Ulaya. Mashabiki wa Madrid walimaliza msimu...

    MOURINHO Pict
  5. Tottenham yatakiwa kuvunja benki kumsajili Marcus Rashford

    Kiungo wa zamani wa Tottenham, Jamie O’Hara ameiomba klabu hiyo ‘ivunje benki’ kumsajili mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford. O’Hara anadai Rashford ni nyota muhimu kutua Tottenham...

  6. Kocha Afrika Kusini ajiweka njia panda

    Kocha wa Afrika Kusini, Hugo Broos, amebadili kauli yake akisema kwamba, atajipa muda wa kutafakari kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho wa kuachana na timu hiyo, huku akisema milango bado iko wazi...

    BROOS Pict
  7. Kisa jela, marafiki wamkimbia Boris Becker

    BINGWA wa zamani wa tenisi duniani, Boris Becker amesema amepoteza asilimia 95 ya marafiki zake tangu atoke gerezani.

    BORIS Pict
  8. Barcelona ‘yajilipua’ kwa Harry Kane

    BARCELONA wamewasiliana na wawakilishi wa Harry Kane ili kuchunguza uwezekano wa kumsajili nahodha huyo wa England.

    BARCA Pict
  9. Canada yatinga 16 bora Sauzi ikishindwa kujishikilia Kombe la Dunia

    CANADA inakuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya dakika za jioni kuichapa Afrika Kusini bao 1-0.

  10. Utabiri Argentina, Ufaransa fainali, England mmh!

    KOMPYUTA maalumu ya kutabiri matokeo ya mashindano (supercomputer) imetabiri kuwa Argentina na Ufaransa zitakutana tena kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2026, kama ilivyokuwa mwaka 2022.

    UTABIRI Pict
Previous

Page 61 of 845

Next