Opare afungua njia Dodoma Jiji HATIMAYE Dodoma Jiji wametambulisha mchezaji wao wa kwanza waliyemsajili katika dirisha la usajili msimu huu, wakimtangaza mshambuliaji Collins Opare kutoka timu ya Biashara United.
Simba, Fountain Princess kumalizana Dodoma BAADA ya kumalizana kwenye ubingwa wa Ligi Kuu wanawake msimu uliopita ambao Simba Queens walifanikiwa kuendeleza ubabe, timu za Fountain Gate na Simba Queens zitakuwa na kibarua cha mwisho...
Warriors yabeba taji la NBA, Curry MVP MECHI sita pekee zimetosha kwa timu ya Golden State Warriors kuwa mabingwa wapya wa ligi ya kikapu Marekani (NBA), kufuatia kuifunga timu ya Boston Celtics leo Ijumaa kwa pointi 103-90 kwenye...
NBA MVP yaacha gumzo Marekani GUMZO kubwa kwa sasa kwenye Ligi ya Kikapu Marekani ni tuzo ya bora (NBA MVP) kuingia faianli bila kuwepo mchezaji raia wa nchi hiyo huku Nikola Jokic wa timu ya Denver Nuggets akitwaa tuzo ya...
Simba vs Dodoma Jiji yabadilishiwa muda MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC kati ya wenyeji Simba dhidi ya Dodoma Jiji, uliokuwa uchezwe majira ya Saa 1 Usiku, sasa umerudishwa nyuma.
Masoud Djuma kocha mpya Dodoma, msaidizi ni huyu NI Rasmi sasa, aliyewahi kuwa Kocha msaidizi wa Simba, Masoud Djuma Irambona, ndiye Kocha mkuu mpya wa Dodoma Jiji.
Fountain Gate yaleta Mmisri kwa Ulimboka Dodoma. MATOKEO mabovu kwenye Ligi ya Championship msimu huu, yamewalazimu mabosi wa Fountain Gate FC, kuleta kocha kutoka nje ya nchi. Kocha Ahmed Soliman kutoka nchini Misri, ndiye hatimaye...
Hearn amhofia AJ kwa Usyk ANTHONY Joshua ‘AJ’, bondia wa uzito wa juu duniani kutoka England anahesabu miezi mitatu kuanzia sasa kabla hajapanda ulingoni kukomboa mikanda yake mitatu aliyokuwa nayo - IBF, WBA, na WBO...
Djokovic ngoma ngumu Australian Open TANGU Jumatano wiki iliyopita, staa na bingwa mtetezi wa michuano ya tenisi ya wazi ya Australia (Australian Open), Novak Djokovic amekumbana na vikwazo vya kuingia nchini humo kutokana na...
Klay sasa njia nyeupe kutisha NBA Wapenzi wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) walishuhudia kwa mara nyingine kurejea kwa staa mkubwa, Klay Thompson wa Golden State Warriors akicheza tena baada ya kuwa nje misimu miwili.