SPOTI DOKTA: Siku ya Afya Duniani, mwanamichezo zingatia haya Keshokutwa ni siku ya Afya Duniani chini ya mwamvuli wa Shirika la Afya (WHO) kwani Aprili 7 ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya afya. Mwaka huu kaulimbiu inasema “Afya yako, haki yako.”
SPOTIDOKTA: Haller alivyopona saratani na kubeba Afcon 2023 MSHAMBULIAJI wa Ivory Coast, Sebastian Haller amekuwa gumzo katika vyombo vya habari na hii ni baada ya kuisaidia nchi yake kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2023). Mwamba huyu...
Hiki ndicho kilichomsumbua Victor Osimhen Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Nigeria, Victor Osimhen alilazimika kuachwa jijini Abidjan Jumanne kuelekea mchezo wa jana wa nusu fainali dhidi ya Afrika ya Kusini kutokana na kuumwa...
SPOTIDOKTA: Kwanini mapumziko dakika tatu Afcon? MASHINDANO ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 yanayofanyika nchini Ivory Coast yanazidi kusonga mbele mara baada ya kumalizika hatua ya mtoano na kesho inaanza robo fainali. Hatua ya...
SPOTI DOKTA: De Bryune kama vile hakuwa majeruhi KIUNGO wa Manchester City, Kevin De Bruyne ‘KDB’ amerudi kutoka kwenhye majeraha akiwa na makali yake kama awali kabla ya kuwa nje kwa miezi mitano baada ya kuumia misuli ya paja Agosti mwaka janma.
SPOTI DOKTA: Nyota wa EPL na tukio la kupatwa mshtuko wa moyo Mchezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) kati ya AFC Bournemouth na Luton Town Jumamosi iliyopita ulilazimika kuahirishwa mara baada ya nahodha wa Luton, Tom Lockyer kuanguka ghafla uwanjani akiwa...
SPOTIDOKTA: Shabiki afariki dunia La Liga, refa ajeruhiwa Uturuki KWENYE medani ya soka katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuna matukio mawili yaliyojiri wiki hii ikiwamo mwamuzi wa Ligi Kuu Uturuki kujeruhiwa na shabiki wa soka kufariki dunia...
SPOTI DOKTA: Desemba kipindi kigumu Ligi za Ulaya KILE kipindi cha majira ya baridi kali barani Ulaya ndio kimeanza kunoga ambapo theluji inadondoka na kufanya mazingira yake kuwa ya baridi kali inayoshuka mpaka chini ya nyuzijoto sifuri. Hivi...
SPOTI DOKTA: Vurugu za mashabiki Brazil, Argentina ni darasa JUMATANO usiku wiki iliyopita katika mechi ya kutafuta tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia 2026 kati ya Brazil na Argentina nchini Brazil ilishuhudiwa vurugu za mashabiki wahuni wa soka wa nchi...
SPOTI DOKTA: Majeraha haya yanamweka nje Haaland? MWISHO mwa wiki iliyopita na wiki hii kulikuwa na mapumziko ya Ligi Kuu mbalimbali duniani kwa ajili ya kupisha mechi za kimataifa zikiwamo zile za kuwania kufuzu ushiriki wa fainali za Euro 2024...